M Mario Kejob JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 441 Reaction score 536 Dec 17, 2020 #1 Kwa mtazamo wangu Chama alifanya makosa ya kumsubiri Miquissone asogee wakati Kagere alikuwa kwenye position nzuri tayari huku akiomba mpira kutoka kwa Chama. Matokeo yake shambulizi hilo lilikuja kuzaa offside dakika za lala salama.
Kwa mtazamo wangu Chama alifanya makosa ya kumsubiri Miquissone asogee wakati Kagere alikuwa kwenye position nzuri tayari huku akiomba mpira kutoka kwa Chama. Matokeo yake shambulizi hilo lilikuja kuzaa offside dakika za lala salama.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,672 Dec 17, 2020 #2 Mbeleko fc.
ndemesi JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 380 Reaction score 121 Dec 17, 2020 #3 Muhimu point 3 mechi ijayo ngumu kwetu
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 Dec 17, 2020 #4 Kweli .. hata Luis alitakiwa kumfinya yule beki ndani ya box aweke pasi kwa chama tena ndio hakuwa offside
Kweli .. hata Luis alitakiwa kumfinya yule beki ndani ya box aweke pasi kwa chama tena ndio hakuwa offside
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 Dec 17, 2020 #5 Ulimakafu said: Mbeleko fc. Click to expand... Mapokezi fc wape salaam vyura waambie tunakuja hapo juu
Ulimakafu said: Mbeleko fc. Click to expand... Mapokezi fc wape salaam vyura waambie tunakuja hapo juu
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Dec 17, 2020 #6 Refa ndio anawaamulia matokeo!
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Dec 17, 2020 #7 Simba jana katoka ngapi ngapi?
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 Dec 17, 2020 #8 Kichwa Kichafu said: Refa ndio anawaamulia matokeo! Click to expand... Penalt kwenu ni sawa ila kwa Simba ni kubebwa.. Andaeni mabango mwende hadi TFF.
Kichwa Kichafu said: Refa ndio anawaamulia matokeo! Click to expand... Penalt kwenu ni sawa ila kwa Simba ni kubebwa.. Andaeni mabango mwende hadi TFF.
ANT DRUGS JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 5,231 Reaction score 6,472 Dec 17, 2020 #9 Nguvu moja na refa🤣🤣🤣
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,059 Dec 17, 2020 #10 3llyEmma said: Penalt kwenu ni sawa ila kwa Simba ni kubebwa.. Andaeni mabango mwende hadi TFF. Click to expand... Waende hata FIFA wanalalamika daily kama changudoa aliyekopwa.
3llyEmma said: Penalt kwenu ni sawa ila kwa Simba ni kubebwa.. Andaeni mabango mwende hadi TFF. Click to expand... Waende hata FIFA wanalalamika daily kama changudoa aliyekopwa.