Ng'ombeHapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema
Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?
Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.
View attachment 2739692
View attachment 2739693
We kenge sisi tupo utegi ,kama huna nauli weka bando ingia Jambo Tv live au Mwanzo tv live, Nyau weweHapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema
Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?
Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.
View attachment 2739692
View attachment 2739693
Wewe ni muongo, acha uongo ndugu, uko utegi hapa sehemu gani hadi uje utusemehe ujinga wako humu?Hapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema
Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?
Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.
View attachment 2739692
View attachment 2739693
Utegi tuna jambo letu, baada ya CCM kutufurusha Utegi Farm na kuwakabidhi Wazungu unafikiri sisi Wategi ni wajinga?We kenge sisi tupo utegi ,kama huna nauli weka bando ingia Jambo Tv live au Mwanzo tv live, Nyau wewe
Utegi tuna jambo letu, hatutaki ujinga wa CCM hapa, wao waende na BARRICKSKada wa CCCM Kureport mikutano ya CHADEMA, umepima faida na HASARA zake?
Usijesema hukuonywa!!
Msisahau kuwakumbusha vijana umuhimu kushiriki uchaguzi maana wamesusa muda wote wako betting.Utegi tuna jambo letu, hatutaki ujinga wa CCM hapa, wao waende na BARRICKS
Huyo kenge wa Lumumba wala hajuhi Utegi achana naye, tumefurushwa tena bila malipo kutoka kwenye makazi yetu ya miaka na miaka na ndo sehemu yetu yakilimo na kupelekwa kwa Mzungu wa BARRICKS bure kabisa hatutaki CCM UtegiNg'ombe
Hivi nyie uvccm akili zenu zimehifadhiwa wapi katika miili yenu?Hapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema
Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?
Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.
View attachment 2739692
mtapata tabu sana makuwadi na wake za warabu dpworld, tunawaelekeza fatilieni sirari na rorya leo muone mikutano.Hapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema
Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?
Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.
View attachment 2739692
Aibu yako aibu ya CCMHapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema
Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?
Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.
View attachment 2739692
Acha kula ugoro ..iko siku utakuja kupupu kitandaniHapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema