Simba wamejitoa wenyewe hawajatolewa na Kaizer.Viongoz wa simba nao wamezd zalau ata kama kagere na boko hawafai sio wa kuwafananisha na mugalu huu msimu wataukumbuka sana ulikuwa mwepes kwao kufka nusu ila uzembe na zalau wangezitumua zile nafas kusajili baada ya kufka robo leo wangetoboa kuna baadhi ya wachezaj walifanya kila ktu ila wachache kutokana na viwango vyao ndio kumewafelisha kupata magol zaid
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kama kila kocha anamchukia Kagera basi kunashida mahaliKifupi coach hampemdi kagere tuseme..
Subs zilikiwa hazijaisha.. Ana matatizo mahali, ama tuseme alikiwa kavurugwa bemchi la ufundi lilipaswa limkumbushe, pamoja ma yoote kagere ndio mfungaji wetu tegemeo kwa misimu kadhaa, na msimu huu ni nafasi tu kanyimwa lakini mie naamini katika uwezo wake.
Huwezi kusema kila kocha, vipi uchebe? Mbona alimpenda?Kama kila kocha anamchukia Kagera basi kunashida mahali
Ila kitu nachokuhakikishia mimi simkubali Mugalu nampendekeza zaidi MK14,ila kuna kitu cha kiufundi pengine anacho ambacho kwa sisi mashabiki hatuwezi kukiona.Vyema ampe nafasi na Kagere kuliko kukomaa na Mugalu muda wote no matter what.
umemaliza baba. Simba ni mfalme wa nyikaSimba bahati haikua yetu leo,hata angeanza MK14 mtu wa kazi.
Ukiangalia magoli mengi wachezaji waliyokosa ni mengi sio Mugalu tu hata,Boko,Chama na Morison.pia kuna mchezaji wa Kaizer alishika ndani ya box lakini refa kapotezea.
Simba ni timu bora sana ingawa imetolewa lakini kazi imefanyika ya kiwango cha kimataifa.
Simba nguvu moja.
Labda asepe Mugalu ila kwa huyu kocha ni mzuri sana tu,na tegemea kwenye mapendekezo ya kucho kurekebisha timu huwenda akabaki ndo utajua togauti makocha na mitazamo ya sisi mashabiki,ila Mugalu anatia aibu sana.Na huyu kocha utadhani karogwa na Mugalu. Jitu halina tija yoyote pale mbele na amemuacha acheze dakika zote 90. Asipoangalia ataondoka yeye na Mugalu wake kwa sababu huyu Mugalu anatutia machungu sana sisi wana Simba na hasa pale anapopoteza nafasi za wazi kila mechi.