Libya ilikuwa imetulia lkn Choko choko za Westerns ndio zilizoamsha nakumbuka nilikuwa natizama kituo cha habar sikumbuki ni kituo gani wanafunzi wanaosoma UK waki Libya walikuwa wamevaa nguo za kijeshi wakidai wanaenda kumuondoa Gaddafi na wapo proud kurudi ,hawa wote waliandaliwa na pia Hillary Clinton aliplan mda namna ya kuondoa Gaddafi regime na plan yake pamoja na CIA ilifanikiwa ,na rebels wengi ni Muslim militants ambao walitumia fursa hyo kuweka sharia na mpk ss Isis ndio wamejazana kule same case kwa Syria ,siyo kama wananchi wamejiamulia Bali Hillary Clinton aliplan ,propaganda zao,na wengi kutoka mashariki ya kati waliingia Libya kufanya protest na uthibitisho upo na watu wenye ideology hiyo wakaungana..Sijui gadafi na asad kuwa na nuclear ingesaidia vipi. Syria na Libya ni wananchi wenyewe ndo walipindua serekali zao. Au unamaanisha gadafi angepiga bomu la nuclear dhidi ya waasi? Yaani wapige bomu ndani ya nchi yake mwenyewe?
Haha na hawawezi kuvurugana hawa wana mikakati balaaagadaff alikosea sana kutofikilia kuwa na nuclear, angekuwa nayo hao usa wasinge mgusa hata kidogo
nuclear=power=strong national=strong leader
wananchi wasingeweza mtoa hata walie machozi ya damu.
same applied kwa nchi zetu hizi hata wananchi wapige kula ya hapana kwa chama cha kijani hakiwezitoka wala kuyumbishwa, labda wavulugane wao wenyewe
Sijui gadafi na asad kuwa na nuclear ingesaidia vipi. Syria na Libya ni wananchi wenyewe ndo walipindua serekali zao. Au unamaanisha gadafi angepiga bomu la nuclear dhidi ya waasi? Yaani wapige bomu ndani ya nchi yake mwenyewe?
Hahaha.....nimependa sana uliposema UCHOCHEZI....Ni kweli wiki Jana nilikuwa na msomi mkoja kutoka Libya MTU maarufu tu nisimtaje nikiwa namuulizia mambo yahusuyo nchi yao. Alisema kuwa kiukweli ni mbegu ya uchochezi tu ilipandwa kati yao na tatizo kubwa yeye alisema ni Ujinga Wa wanachi wenyewe kuukubali uchochezi ule. Hili ni jambo hatari sana
kuwai tokea dunianObama ni chukizo haribifu kabisa