kupauka ni lazima tu mkuu hizi saa zote za kupaka lazima zipauke. halafu umesema tu skeleton haujasema brand name, maana nijuavyo mimi skeleton ni design hizi zenye transparent casing zinazoonesha mashine ya ndani. hizi saa nyingi sku hzi ni china tu, make ya ujerumani au uswisi kwa saa kama hiyo huwezi kupata kwa chini ya dola mia tano!