mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
wanyarwanda ni washamba sana. how many professionals do you have anyway? si ndio haohao waliosoma vyuo vya Tanzania wakijifanya watanzania baada ya kukimbia vita kwao na vita ilipoisha wamerudi na kuanza kututukana wakali tuliwapa chakula na vyoo vya kunyya? sasa kanchi kenyewe kadogo kama mkoa mmoja wa tz na kila wanachofanya wanajitangaza hata wakifanikiwa kujipinda na kupiga bao mke wanaweza kuja hapa kujitangaza kuwa now rwandan men wanafunction.

Aliyewaroga Watanzania hadi mkawa na chuki kiasi hiki lazima alifia mbali. Nchi yenu mnadai ni ya amani lakini chuki ndio inawamaliza. Sasa hii taarifa hapa haijataja Tanzania sehemu, imeongelea kuhusu Rwanda na Wanyarwanda kufanya maamuzi ya kuijenga nchi. Wewe imekuuma hadi unaporomosha matusi.
Kwani hata walisomea kwenu ulitegemea wasirudi kwao kujenga nchi yao.
Hongera Wanyarwanda, huu ni mfano mzuri wa kuigwa, yaani natamani sana na nchi yetu Kenya tuanzishe hii.
wewe mkenya, tunachojadili hapa ni je, what does Rwanda has to offer to Tanzania, na pia je, Rwanda wanayo maliasili gani ya kuleta uchumi zaidi ya misaada, women, gollilar and madini ya congo? kama kuna chochote cha kuzalisha hela Rwanda lete hapa. kama huna na wewe nyamaza kimyaaa au pita kimyakimya. hapo ndipo nilipokuwa nawauliza wanyarwanda mimi nikaondoka kabisa kwenye topic ili nipate majibu ya hilo swali.Aliyewaroga Watanzania hadi mkawa na chuki kiasi hiki lazima alifia mbali. Nchi yenu mnadai ni ya amani lakini chuki ndio inawamaliza. Sasa hii taarifa hapa haijataja Tanzania sehemu, imeongelea kuhusu Rwanda na Wanyarwanda kufanya maamuzi ya kuijenga nchi. Wewe imekuuma hadi unaporomosha matusi.
Kwani hata walisomea kwenu ulitegemea wasirudi kwao kujenga nchi yao.
Hongera Wanyarwanda, huu ni mfano mzuri wa kuigwa, yaani natamani sana na nchi yetu Kenya tuanzishe hii.
sasa kama wakenya wastaarabu kuliko watanzania unaowadharau, mbona kipindi kile ndugu zako wanachinjwa na wewe kuponea chupuchupu haukukimbilia kenya bali ulikimbilia Tanzania? tukakupatia chakula na mahali pa kulala na choo cha kujisaidia?ah! kumbe hauwajui? hawa ndio waswahili wenyewe, wana msemo wao eti cha mtu ##$# ukikiona kitemee mate... matusi kwao ni kama salamu, wasikupe shida we mstaarabu wakikenya, ila safari hii nakuhakikishia watasononeka sana kwa maana siishi kuwaletea habari nzuri kutoka Rwanda(thousand hills)
wee unamatatizo ya akili, ukichanganya na chuki yako dhidi ya watutsi ndio unaharibu kabisa! kila society ina watu mchanganyiko wema na wabovu kama wewe, kumsifu huyu Mkenya MK254 haimaanishi wakenya wote wametulia... nikutokana na uandishi wake mzuri na kutoa hoja za kueleweka, sio kama wewe mpuuzi! hata hao waswahili wenzako ambao nnaongelea we ni mmojawapo... wapo wengine nnaojuana nao ambao ni tofauti kabisa na wewe, wanaojua kutofautisha mashudu na pumba zako! hata huku Rwanda tuna watu wakila aina wengine wanaakili kama za mentor wako jMali lakini haimaanishi eti sote tuko hivyo... kama huna la kusema funga kabisa hilo bakuli, bastard!wewe mkenya, tunachojadili hapa ni je, what does Rwanda has to offer to Tanzania, na pia je, Rwanda wanayo maliasili gani ya kuleta uchumi zaidi ya misaada, women, gollilar and madini ya congo? kama kuna chochote cha kuzalisha hela Rwanda lete hapa. kama huna na wewe nyamaza kimyaaa au pita kimyakimya. hapo ndipo nilipokuwa nawauliza wanyarwanda mimi nikaondoka kabisa kwenye topic ili nipate majibu ya hilo swali.
sasa kama wakenya wastaarabu kuliko watanzania unaowadharau, mbona kipindi kile ndugu zako wanachinjwa na wewe kuponea chupuchupu haukukimbilia kenya bali ulikimbilia Tanzania? tukakupatia chakula na mahali pa kulala na choo cha kujisaidia?
Aliyewaroga Watanzania hadi mkawa na chuki kiasi hiki lazima alifia mbali. Nchi yenu mnadai ni ya amani lakini chuki ndio inawamaliza. Sasa hii taarifa hapa haijataja Tanzania sehemu, imeongelea kuhusu Rwanda na Wanyarwanda kufanya maamuzi ya kuijenga nchi. Wewe imekuuma hadi unaporomosha matusi.
Kwani hata walisomea kwenu ulitegemea wasirudi kwao kujenga nchi yao.
Hongera Wanyarwanda, huu ni mfano mzuri wa kuigwa, yaani natamani sana na nchi yetu Kenya tuanzishe hii.
I've been consulting at Rwanda Development Board in Kigali since around May last year, I have almost an year here in Kigali, I've participated in the muganda not more than four times since I've been around, its on the last Saturday of the month and am mostly hangovered, but it's something that I really like our country to emulate. Not only does the exercise makes the country cleaner, it creates a sense of belonging and creates bonds in the neighbourhood.
I've seen a bloke ask how professionals will be available to provide the free services instead of going to site or other activities, its quite simple, there is usually no activities on the last Saturday, no shops open, no transport, no roaming around until the early afternoon, so its safe to say that they will avail themselves and make this beautiful country better.
I don't know how a normal person keeps hating on their neighbors? whats wrong with these people? Rwanda is progressing, whether small or not, it is changing the lives of its people, and as Africans, we should be happy for them.
Karibu Rwanda Maina.