Kuna mtanzania yeyote
Premier league England?
Kenya Tunayo mmoja
Kuna mtanzania yeyote France Ligue 1? Kenya Tuna wawili
Kuna Mtanzania yeyote Italia
Serie A? Kuna mkenya
Kuna mtanzania Yeyote China Superleague?
Kuna mkenya
Tii baba hamjui kucheza face facts
Kenya tuko
Rugby
Athletics
Football
Hockey
Cricket
Tennis
Cycling- bingwa wa Dunia Chris Froom ni mzaliwa wa Kenya ameishi kenya mpaka alipofika 24yrs
Etc