Wanyarwanda wana Kila sababu ya kujivuna Kwa maendeleo na amani walionayo leo. Ni kanchi kadogo kalikopitia machungu ya mauaji ya wenyewe Kwa wenyewe ila leo kamesimama imara.
Hayo mengine sijui lakini amani hakuna usituongopee,amani gani mtu hutakiwi kumsema kiongozi wala kumpinga ukijaribu fasta unawahishwa kuzimu sasa hiyo ndiyo amani gani!