Huu ni unafiki wa hali ya juu wa kutaka kuihadaa jumuiya ya kimataifa kwamba Rwanda inazingatia haki za binadamu. Na zile death penalty zinazotolewa kwa njia za assassination tena bila kufikishwa mahakamani ndizo halali?! Kwa hakika taarifa hii inaendelea tu kuthibitisha kwamba Kagame ni mtu wa aina gani.Our position is that we cannot extradite these people to countries that maintain the death penalty in their penal code, Ms Mushikiwabo said on Thursday.
Hii habari iko hewani miezi sita sasa, sielewi inapoletwa hapa leo kama new issue sijui mleta maada ana taka kutueleza lipi jipya? au kwa sababu kwa siku mbili zote hizi hakuna news za Kagame ndio maana anataka kutukumbusha iri tusimsahau. Kwa kweli When something obsess you it can be very dangerous. Such topics can not occupy any Tanzanian mind. I am certainly sure who ever takes such trouble to dig such old news has his or her own personal reasons obvious ni hao hao.
cc: rushasha NasDaz JokaKuu Ngongo Mimibaba
Ndugu hapa ni JF Tanzania sio New Times Rwanda! Huongei na wapumb.avu wenzio unaongea na great thinkers. Unajifanya uko neutral wakati taarifa zako zilizo wazi kabisa zinaonyesha uko upande gani:
Umejiunga miezi 6 iliyopita, post zako nyingi (jumla 23 tu) ni za masuala ya Rwanda, michango yako pia ni masuala ya Rwanda, halafu unadhani unajifanya eti hii haina interest kwako. Hebu cheki mwenyewe quotes zako ulizoandika, na link zake halafu come back na hii BS ya kujifanya eti hili halina interest kwa TZ.
"Land for your information Tutsis are not in Rwanda only, they are also in TZ among the Hangaza and subi people in Kagera, they among the Ha of Kigoma, they are among all tribes that surround great lake region, in fact it is not a tribe but a way of life unfortunately it has been wrongly identified as tribe." source:https://www.jamiiforums.com/international-forum/507825-kumbe-watutsi-ni-jews-3.html#post7138065.
"Bro! Huyu Niwemugizi anapotamka hivyo kuhusu kaka yake anajua anacho kisema, kwa taarifa yako anao kaka zake ndani ya wapiganaji wa FDRL, na kwa taarifa yako zaidi katika UN brigade ndani ya TZ Bn kati ya wale JW 1000 arround 100 of them are FDRL soldiers, wamevalishwa magwanda ya JW na ndio wanatumika as guides, as scouts and other activities zinazo hitaji mtu anaye fahamu vizuri terrain. Hii ni stratergy nzuri iriyo tumiwa na TZ iri kuweza kuingia Congo na kuvinjari ndani ya Misiti mizito ya Congo bila kupotea na kupoteana. Bira hii mbinu nakuhakikishia hakuna Kikosi no matter how good or equipped kinaweza kufanya lolote ndani ya Misitu ya Congo. Kwa ufupi ni vikundi viwili tu ndivyo vyenye uzoefu na uwezo wa kuweza ku survive in those jungle (FDRL na M23) hata Jeshi la Congo (serikali) hupoteana na kupigwa kama vipofu. Tanzania ilipewa mbinu hii na Kabila mwenyewe in fact alimtuma Kamanda shupavu sana wa FDRL aitwaye Bigaruka. Huyu jamaa alikuja akawapa TZ kilakitu kuhusiana na terrain, na aliwaonya sana kuwa itakuwa ni vigumu sana kupigana na M23 ndani ya Misitu ya Congo bila kuwa nawatu wanaofahamu eneo hili zivuri. Ndio hapo wakaingia deal ya kuwapatia vijana wa FDRL wapatao 100 for the said reasons. Hizi moves zote wakati zinapangwa na kusukwa kisirisiri, zilikuwa zinamfikia PK baada ya hawa vijana 100 kufika na kupokelewa Bongo, ktk hari ya kutatanisha sana jamaa yule Bigaruka alitoweka ghafla, hekaheka za kumsaka ndani ya TZ ziligonga ukuta, inasemekana PK alikuja kumchukua mwenyewe akamtoa ndani ya safe house moja mjini Dar hadi Kigali. Jamaa kuingia Kigali hakuamini macho yake akajua mambo yote kwisha akamwaga mcele wote, hapo ndipo chuki na uhasama vikaalipuka. JK arikasirika saana, kwa hako ka mchezo PK nae arikasirika saana kutokana na kitendo cha JK kushirikiana hawa jamaa. lakini alie kasirika saana alikuwa mchungaji Mtikira kwani huyu Bwana Bigaruka alikuwa mtu wa karibu sana wa Mtikira kuna tetesi kuwa anaweza kuwa Binamu yake au Shemeji yake, Maranying sana Bigaruka amekuwa akiingia TZ kwa shughuri zake Binafsi akitokea kwenye Misitu ya Congo kila mara alikuwa akifikia kwa Mch.Mtikira, so aliposikia amepotea. Alitukana saana, alitukana mpaka akawa kama kichaa, alitia chumvi na kufoka utadhani amepagawa, alichochea kila aina ya sumu, naamini kama angekuwa Raisi wa TZ angekuwa ameshaivamia Rwanda siku nyingi. Article yake hiyo yenye matusi imo humuhumu ndani sikumbuki ni wapi, anayetaka anaweza kuitafuta"
source: https://www.jamiiforums.com/interna...settled-in-kirehe-district-5.html#post7098077
Where are the rushashas and Mukoras? I am sure that the cannot view this because it eats them to see that what they are saying is completely being proven wrong. source: https://www.jamiiforums.com/interna...3-wadaiwa-kubaka-na-kuua-drc.html#post6959159
I like your comment Koba, and what you said is the truth undeniable truth, it is allover the news lakini kuna watu wanapenda majungu na umbea, baadhi ya comment humu ndani zinasikitisha kwakweli, kuna baadhi ya watu ndani ya hii forum wamejawa na chuki hasa kwa Kagame utadhani ni akina nanihii..... sijui kulikoni. chuki yao inawazuia kuona na kutafakari kabisaaa. source: https://www.jamiiforums.com/interna...rani-zetu-waanza-kututenga-5.html#post6738380
Safi sana mpe za chembe huyo b.w.e.g.e.
Kila mtu anajua M 23 ni wanyarwanda. Na wapo rwanda. Tuandike pettition tuipeleke UN watupe ruhusa kuingia kumalizia kazi.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Mimi siko Neutral Nyangau wewe! where did I mention my neutrality? Am just like you, very obsessed with News about Kagame and his country thought for different reasons. Nilichosema ni kwanini habari iriyo zungumziwa miezi sita inarudiwa hapa kirichobadirika ni nini? au hakuna habari mpya turudie ambazo turishazungumzia? na kuhusu u greatthinkers wako dont make me laugh ua so biased and obsessed just like the two camps we have here whenever it is about Rwanda and Kagame