Hawa jamaa wamekosa kazi. U-green wa hayo mashamba ya chai? Nchi yenyewe Rwanda ukubwa wake sawa na Rushoto yetu hapa Tanzania. Sasa kama Rushoto ingekuwa nchi si nayo ingekuwa one of the greenest in the world, pamoja na yale mashamba ya chai kule Luponde?