Russian General Staff: US radars controls almost whole Russia

Duh.... Mkuu maelezo ni marefu ila ntajitahid kueleza kifupi saaaana kadri ya uelewa wangu + niliyosoma class.
Sir,
Haihitaji maelezo marefu. Ni logic rahisi kabisa,kwamba, kama radar ime-cover eneo lako lote hadi jikoni, basi missiles zako zote na fighter jets+ bombers zitaonekana kabla ya kufikia target, na SAM zitakushughulikia. USA ana base chungu nzima every continent, and in waters...so anaweza kutungua missiles,ndege za adui,or to hit target from different locations.
Hii ndio advantage ya USA compared to RUSSIAN ambaye hana airbase nje ya nchini kwake, achilia mbali Carriers,anayo moja tu=weaknes
 
Dah... Asante sana mkuu umenirahisishia kaz ila nia yangu nilitaka nimdadavulie mdau hapo juu kuanzia jinsi kombora linavyoanza kurushwa na US atakua na advantage gan kwa kiundani zaid. Ila naona bora hyo mada niiweke vizuri zaid siku nikitulia niiweke Kama Thread humu.
 
Mim nafikiria sana sipati jibu wazungu wamepewa akili gani ya kutengeneza mitambo kama hiyo na ikafanya kazi 100%? Wao huenda wakawa na extra brain au, kila wanacho kiwaza wakitengeneze wanatengeneza! Kwanini Africa tu washindwe hata kutengeneza mitambo kama hiyo

Tanzania ndiyo kabisa uwezo wao umeishia kutengeneza juice na kukaanga chips yai
 
Hahahaha mtu akikosana na GF wake analeta Thread hapa unategemea nini Kutoka Africa...?[emoji51][emoji51][emoji51]
 


Mkuu, ni hivi:

Kombora la masafa marefu likishafikia maximum cruising speed kulitungua ni kitu ambacho hakiwezekani.

Kwahiyo hiyo radar itabaki kuangalia tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…