Russia Weak Military

Tafuta vitu vifuatavyo kwa uchache, bulava, topol m, satan ss18, s 300, s400, t 50, t 90, Mig 31m su 35, tu 160 bomber, ukivipata njoo nikupe kama haramu nyingine kama 500 hivi za russia
 
Mbona una jina la kidhungu?? Teh teh
 
Preaching through comparing biggest war weapons from big nations of different ideologies
 
Mbona una jina la kidhungu?? Teh teh

soma vizuri ile comment then utajua mimi ni race gani? kuna wazungu, wahindi na waarabu kibao they feel proud to be Tanzanian. sio hao mapimbi kwenda nje kidogo tuu, wengine mahaouse boy wanajiona na wenyewe washakuwa wahukohuko wakati kila mda ukifika wanakimbilia ubalozini kuupdate mikaratasi yao.
 
ngojeni niwaambie#ishmael
kaja kivingine baada ya kuona post zake hazina wasomaji yeye kaamua kuleta za urusi na usa
ameiga post ile ya usa are not able to overcome s-300
jambo km hulijui waachie wajuz maana c levo yako

Huyu jamaa mdini sana, hana cha maana zaidi ya mabishano ya dini.
 
Do you mean, what is my career?

Preaching Jesus Christ 24/7 to all the world.

Jesus didint preach hate against others religion or race....bt rether he preached abt love...most of ur post are blocked, deleted or canceled bcoz of hate spreading towards our community....am sure 100% ur not israelis nor American.....So be u....be proud of ur race which am sure is BLACK.....Stop childish behaviour za kusifia movie za Anord schwarzniger......
 
Get a life.
 


balaa lingeanzishwa na wamerakani wenyewe kwani tayari walitungua ndege mbili za kivita za Urus lakini Urus hawakujibu
 
Do you mean, what is my career?

Preaching Jesus Christ 24/7 to all the world.
Then you are a true follower of Paulo.
Tinaweza kukuitwa msukule wa Paulo.

Why do you forget preaching the creator of Jesus Christ to the world?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…