Umepotea na sababu ya kupotea ni kuwaza pafupi bila kuongeza ufahamu. Hiko chuo ulichosema ni cha serikali hivyo hakina budi kuomba bajeti serikalini ya kujiendesha na kwa kuwa aliyeombwa ni mkuu Wa serikali, kuna ubaya gani hapo?
ungeeleweka kama hiyo shahada angetunukiwa na chuo cha binafsi na hapohapo mkuu au makamu mkuu Wa chuo akaomba fedha za kujiendesha kutoka serikalini. sometimes you have to think critically and logically for critical and logical issues