Tsn motors
Member
- Dec 23, 2017
- 70
- 160
Si unakapendaga kagaloni 😍Ahsante kwa taarifa...
Nitakupa wewe uhangaike nako...Si unakapendaga kagaloni 😍
😂😂😂 nataka Sub niitoe mafuaNitakupa wewe uhangaike nako...
Itakutesa sana hiyo... rrrrr zitaishia humo...😂😂😂 nataka Sub niitoe mafua
😂😂😂🙌 basi siitaki,, mambo ya kugusa mpaka rrr hapana kabisa..Itakutesa sana hiyo... rrrrr zitaishia humo...
Ishi ni Rumion...😂😂😂🙌 basi siitaki,, mambo ya kugusa mpaka rrr hapana kabisa..
😅😅😅😅 niendelee kuishi na uberIshi ni Rumion...
Au nikupe Range kabisa ili upauke kwa mawazo...😅😅😅😅 niendelee kuishi na uber
Itakuwa ipauke R au mie 🤣🤣Au nikupe Range kabisa ili upauke kwa mawazo...
Wewe utapauka kwa mawazo...Itakuwa ipauke R au mie 🤣🤣
Litapakiwa,, litapauka lenyewe kwa vumbi + na battery itapata unyafuzi 🤣🤣🤣🤣Wewe utapauka kwa mawazo...
Siku moja moja siyo mbaya...Litapakiwa,, litapauka lenyewe kwa vumbi + na battery itapata unyafuzi 🤣🤣🤣🤣
Litakuwa linashtuliwa batterySiku moja moja siyo mbaya...
Zote ni R…. Ni ndugu haoMada inasema Rumion na siyo Range...
🙂