Ndio muone umuhmu wa kusoma kwa bidii mkiwa secondary..udom kwa hlo wako sahihi kabisa.
Kama we ni wa nacte bora utafute shughuli nyingne,hata vijana wa udsm kutoka nacte walipata adha hyo hyo!
wengine walifaulu form six wakafaulu tu vizuri shida ni hii mikopo wakaanza na diploma sasa wanaomba vyuo ndo yanawakuta hayo.
bora ningekomaa na advancekama walikupanga udom njoo office za nacte mjini dodoma ukiwa na details zako waambie wakupange chuo kngne ukweli udom/udsm wamesema kam mtu hayupo batch6 ya mwisho aende nacte ili awe located kwingne mapemaaaa maana wao hawapokei tena wamejaza tayari!
And exactly their serious to this!
bora ningekomaa na advance