Bado unateseka tu?! Punguza kubet mikeka ya gharama kubwa. Jilaani mwenyewe kwa ujinga wako wa kukosa umakini katika kutandaza mikeka yako huku ukiweka dau nene, badala ya kumlaani Pep.
Unafikiri wewe unalipenda kombe la UCL kuliko anavyolipenda Pep?
Unafikiri unalijua soka kulicheza, kulifundisha, kulichambua na kuliundia mbinu kuliko Pep?
[emoji23][emoji23] kabisa! Kuna majuha humu hawaangalii hata takwimu zinasemaje, wao kisa mikeka yao ya kishabiki ilichanika basi wanamlaani Guardiola kauza mechi!