rozay

rozay mnyama

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
9
Reaction score
1
WAKUU MSAADA KUTOKA KWENU PLEASE..mim napata kuchanganyikiwa nikiingia kwenye account yangu kweny make 2nd applications..inadai "cas has been closed to allow 2nd application processing" sasa mbna remain capacity zinapungua???? hao wa2 wanaofany remain capacity wan2mia ways gan..mf duse kwa bachelor of education in arts had tarh 30sept remain capacity ilkuwa 251 bt nw remain capacity-9...napata kuchanganyikiwa pleax naomb msaada
 

hata mimi nmekutana na kitu kama icho plz mwenye uelewa naomba atujuze tafadhari.....maana apa naona zero na negative eg -11 sasa sijue maana yake ni nini!!??
 
usipaniki dogo, subiri hadi mwisho wa wiki huenda mgodi ukawa umetema.
 
kuna mawili huenda ikawa tcu washaprocess 2nd round na wamepata waliopata then hizo nafas zimebaki huenda zikaombwa 3rd round, au database yao ilizingua kujiupdate watu walivyoambiwa wafanye 2nd round na hiyo remaining capacity ya 300 duce ilipaswa iwe 9 ndo zilizokuwa zimebaki baada ya kupelekwa wa 1st selection;
hiyo possibility lets hope sio sahihi manake ikiwa hivyo 3rd round watahusika weng tena.
I'm just guessing
 
labda mgodi unakaribia kutema

 

Attachments

  • tcu.png
    2.5 KB · Views: 440
ha ha ha ha ha daaaah hili taifa linaenda kuangamia sasa, yaani mtu anaejiandaa kwenda chuo kikuu anaandika hivi? ha ha ha ha Mulugo uliuua system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…