Habari wana JF,
Kuna mtu anatumia router ya NOKIA kwenye huduma ya supakasi atuambie perfomance yake ukilinganisha na routers nyingine!? View attachment 3061431
Kuna routers nyingine ukiwa kwenye eneo ambalo network haipo stable zinazingua sana ila zingine zinaperform vizuri, Sasa waliowahi tumia hii wanasemaje!