Ndugu zanguni kuna mgombea ubunge kupitia ccm,siku nilipomuona nilistuka km vile nimemuona rostam aziz yule fisadi namba1 na ambaye ameiweka nchi mfukoni.........nataka kujua kwa wale wenye data kamili km kweli ni mmasai au la........na ina maana Babati vijijini hakuna wasomi mpaka wachague mtu kwa kuangalia rangi?.Au kuna mkono wa Lowasa maana yeye na waasia noma....
Kwa nini hawa tusiwaruhusu kuendelea tu na biashara zao lakini mambo ya siasa watuachie wenyewe? Ina maana pale jimboni hakuna mzalendo yeyote na huyu bwana ndiye anayelijua jimbo na matatizo yote kuliko waliozaliwa na kukulia hapo?
JINA:Nd. Jitu Vrajil SONI
UMRI: 41
ELIMU: Sekondari
JIMBO: BABATI VIJIJINI
MKOA: MANYARA
Ila mkuu nakataa matumizi ya 'mzalendo' kwani wapo watanzania wneye asili ya ki-asia (yaani wahindi) ambao ni wazalendo na wapiganaji mmoja ni Rakesh Rajani - mkurgenzi wa zamani wa HakiElimu. NI jasiri na mpaka leo anaendelea mapigano yake kupita NGO nyingine nimeisahau jina. Rakesh ni mtanzania halisi na hana makuu na anaongea Kiswahili kama sisi tu bila lafudhi. Tuache ubaguzi jamani.
Ila tukirudi kwa hao mafisadi nakubaliana na wewe kuwa wafanyabiashara (waafrika na waasia) wanaogombea kupitia CCM wako hapo kwa ajili ya kusaidia biashara zao na kufuja mali za umma. Ingetakiwa iwekwe wazi kuwa mfanya biashara pindi anapoingia siasa anajiuzulu katika biashara zake... hapo utajua wazalendo kama wapo. Hehehe!
Nawashangaa ndugu zangu wa Babati kwa wahindi kwa asili hawapendi kushirikiana na watu wasio wahindi, sijui walimpitishaje awe mgombea wao? Wahindi tunawafahamu sana, hawachangamani na jamii; hata dini yao hawapendi ujiunge nayo, kumwoa muhindi ni vigumu sana,
Babati mnakosea sana;
Wengi wao ni wasanii tu kama ni wazalendo tupate mapolisi ,walimu wa gvt na wanajeshi wa kihindi maana wao huishia kwenye ubunge tu.
Nawashangaa ndugu zangu wa Babati kwa wahindi kwa asili hawapendi kushirikiana na watu wasio wahindi, sijui walimpitishaje awe mgombea wao? Wahindi tunawafahamu sana, hawachangamani na jamii; hata dini yao hawapendi ujiunge nayo, kumwoa muhindi ni vigumu sana,
Babati mnakosea sana;
CHADEMA nao wanamgombea mwenye asili ya kihindi,Said Arfi makamu mwenyekiti wa Chadema ana asili ya kiarabu hapo tunalichukuliaje?
Watu wa asia bwana, hao wanaogombea ubunge ni kutaka kumaximize profit kama kawaida yao, wakishapata haooo canada. kama wanauchungu na hii nchi waanze kufundisha mashuleni, waturuhu kuoa bila mizengwe watoto wao, na waonekane maofisini basi wakifanya kazi pamoja na waswahili kwenye idara mbali mbali za serikali.
Ila mkuu nakataa matumizi ya 'mzalendo' kwani wapo watanzania wneye asili ya ki-asia (yaani wahindi) ambao ni wazalendo na wapiganaji mmoja ni Rakesh Rajani - mkurgenzi wa zamani wa HakiElimu. NI jasiri na mpaka leo anaendelea mapigano yake kupita NGO nyingine nimeisahau jina. Rakesh ni mtanzania halisi na hana makuu na anaongea Kiswahili kama sisi tu bila lafudhi. Tuache ubaguzi jamani.
Ila tukirudi kwa hao mafisadi nakubaliana na wewe kuwa wafanyabiashara (waafrika na waasia) wanaogombea kupitia CCM wako hapo kwa ajili ya kusaidia biashara zao na kufuja mali za umma. Ingetakiwa iwekwe wazi kuwa mfanya biashara pindi anapoingia siasa anajiuzulu katika biashara zake... hapo utajua wazalendo kama wapo. Hehehe!
Ila mkuu nakataa matumizi ya 'mzalendo' kwani wapo watanzania wneye asili ya ki-asia (yaani wahindi) ambao ni wazalendo na wapiganaji mmoja ni Rakesh Rajani - mkurgenzi wa zamani wa HakiElimu. NI jasiri na mpaka leo anaendelea mapigano yake kupita NGO nyingine nimeisahau jina. Rakesh ni mtanzania halisi na hana makuu na anaongea Kiswahili kama sisi tu bila lafudhi. Tuache ubaguzi jamani.
Ila tukirudi kwa hao mafisadi nakubaliana na wewe kuwa wafanyabiashara (waafrika na waasia) wanaogombea kupitia CCM wako hapo kwa ajili ya kusaidia biashara zao na kufuja mali za umma. Ingetakiwa iwekwe wazi kuwa mfanya biashara pindi anapoingia siasa anajiuzulu katika biashara zake... hapo utajua wazalendo kama wapo. Hehehe!
ndio wapo wachache lakini wewe hujui nini kilicho rohoni mwao,,,hawa viumbe nawafahamu in and out,,majority yao karibia wote wanachumia tanzania lakini wanalia canada, india, uk , us,,,naamini tanzania itakuwa mahali salama bila hawa viumbe (wahindi), ni wabaguzi, wezi, wanyanyasaji, walarushwa wakubwa,,ni watanzania wangapi wamegeuzwa watumwa na hawa wahindi?, wengi wao wana pasi za kusafiria za canada,,ila wanajifanya watanzania kwa lengo la kuiba tu, kama wanapenda siasa ni kwanini wasiende kugombea ubunge mumbai?
waganda leo hii wanamheshimu mzalendo rais idd amini kwa kitendo chake cha ujasiri alichokifanya cha kuwatimuwa hawa viumbe (wahindi) leo hii uganda ni nchi ambayo inaongoza africa kwa uchumi wake kumilikiwa na waganda wenyewe, na faida zake waganda wanaziona, chukulieni mfano wa wavamuno, michael ezra na wengine wengi
imefika kipindi sasa tuwaambie hawa wahindi waondoke, wanakwao na kwao ni idiaakistan watuachie nchi yetu, muda wa kuwaendekeza umekwisha,,,na ipo siku tu tutawapa masaa 12 ya kufungasha na kuondoka hata mkijificha kwenye mgongo wa siasa