Rostam mpya azaliwa arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam mpya azaliwa arusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jile79, Sep 17, 2010.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni kuna mgombea ubunge kupitia ccm,siku nilipomuona nilistuka km vile nimemuona rostam aziz yule fisadi namba1 na ambaye ameiweka nchi mfukoni.........nataka kujua kwa wale wenye data kamili km kweli ni mmasai au la........na ina maana Babati vijijini hakuna wasomi mpaka wachague mtu kwa kuangalia rangi?.Au kuna mkono wa Lowasa maana yeye na waasia noma....
  Kwa nini hawa tusiwaruhusu kuendelea tu na biashara zao lakini mambo ya siasa watuachie wenyewe? Ina maana pale jimboni hakuna mzalendo yeyote na huyu bwana ndiye anayelijua jimbo na matatizo yote kuliko waliozaliwa na kukulia hapo?

  JINA:Nd. Jitu Vrajil SONI
  [FONT=&quot]UMRI: 41[/FONT]

  [FONT=&quot]ELIMU: Sekondari[/FONT]
  [FONT=&quot]JIMBO: BABATI VIJIJINI[/FONT]
  [FONT=&quot]MKOA: MANYARA[/FONT]
   
 2. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ila mkuu nakataa matumizi ya 'mzalendo' kwani wapo watanzania wneye asili ya ki-asia (yaani wahindi) ambao ni wazalendo na wapiganaji mmoja ni Rakesh Rajani - mkurgenzi wa zamani wa HakiElimu. NI jasiri na mpaka leo anaendelea mapigano yake kupita NGO nyingine nimeisahau jina. Rakesh ni mtanzania halisi na hana makuu na anaongea Kiswahili kama sisi tu bila lafudhi. Tuache ubaguzi jamani.
  Ila tukirudi kwa hao mafisadi nakubaliana na wewe kuwa wafanyabiashara (waafrika na waasia) wanaogombea kupitia CCM wako hapo kwa ajili ya kusaidia biashara zao na kufuja mali za umma. Ingetakiwa iwekwe wazi kuwa mfanya biashara pindi anapoingia siasa anajiuzulu katika biashara zake... hapo utajua wazalendo kama wapo. Hehehe!
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  thanks......
  lakini huyo ni mmoja kati ya 20.........so the ratio is too small sikatai kuwa kuna wenye moyo kabisakabisa na uzalendo lakini ni wangapi? .......wengi wanaingia kwa njia ya kuwalaghai watz wakitumia faida zao kuwarubuni watz wenye njaa iliyosababishwa na ccm.....this is why i always suf=geest that these gusy should be allowed to only do businesses and leave political issues to residents.........kwanza mimi binafsi huwa nahisi kudharirishwa kabisa kwa waasia kutusaidia kuongoza.........NO.NO.NO./NO
   
 4. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,488
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wengi wao ni wasanii tu kama ni wazalendo tupate mapolisi ,walimu wa gvt na wanajeshi wa kihindi maana wao huishia kwenye ubunge tu.
   
 5. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nawashangaa ndugu zangu wa Babati kwa wahindi kwa asili hawapendi kushirikiana na watu wasio wahindi, sijui walimpitishaje awe mgombea wao? Wahindi tunawafahamu sana, hawachangamani na jamii; hata dini yao hawapendi ujiunge nayo, kumwoa muhindi ni vigumu sana,

  Babati mnakosea sana;
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  bado waja tena kwenye nyadhifa za juu.......sijui lakini mimi sikubaliani kabisaaaa
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  bwana weee.......mtu mwenyewe hana elimu halafu mgeni lakini wanamwamini kwa sababu tu ya vijisenti ......lazima watz tukubali kujiongoza wenyewe bila ya kuazima akina rostamu ktk serikali yetu.........wa nini hawa? tuweaache wafanye biashara kwa amani...........anyway mimi ntakapokuwa rais nitaweka polisi ili wale wageni waruhusiwe kufanya kile walichojia nchini lasivyo sitakuwa tayari kuwashirikisha kwenye maamuzi makubwa ya nchiu hasa kuwahusisha kwenye uongozi wa nchi kwani kwao ni rahisi kuwarubuni watz akiwemo rais...........mpaka sasa kikwete alishawekwa mfukoni na rostam na mafisadi wengine
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  yaani mkuu unaona hapo tumepona kwa hao jamaa kuwa wabunge
   
 9. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Hili nalo neno.!
   
 10. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  CHADEMA nao wanamgombea mwenye asili ya kihindi,Said Arfi makamu mwenyekiti wa Chadema ana asili ya kiarabu hapo tunalichukuliaje?
   
 11. M

  Malembeka Shija Member

  #11
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaongea pumba....nakushauri ukalime miwa waachie siasa watu wanayojua
   
 12. M

  Malembeka Shija Member

  #12
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisi waswahili wenyewe hatuijui lugha yetu....hatujui tofauti ya R na L yet tunakaa tunawasema watu
   
 13. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Watu wa asia bwana, hao wanaogombea ubunge ni kutaka kumaximize profit kama kawaida yao, wakishapata haooo canada. kama wanauchungu na hii nchi waanze kufundisha mashuleni, waturuhu kuoa bila mizengwe watoto wao, na waonekane maofisini basi wakifanya kazi pamoja na waswahili kwenye idara mbali mbali za serikali.
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  hapa hatuzungumzii chadema wala cuf wala ccm tu bali kwanini tunakubali kuendelea kuwaomba wageni watusaidie kuongoza tungali na watoto wetu wengi tu wasomi na wanaojua matatizo yetu kuliko hawa majamaa ambao kazi yao ni kuingia kwenye na kuanza kuwarubuni akina kikwete kutengeneza makampuni feki km ilivyo kwa kampuni km richmond ambalo kikwete alishawishiwa na rostam na lowasa kulianzisha wakijua kabisa kuwa ni feki na kujichotea mabilioni ya pesa za watz?.......kikwete huyohuyo angeshawishiwa na mzalendo/mzawa asingekubali angeogopa kuwa pengine ni mamluki ametumwa ili baadaye anichafue?
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  nakwambia hayo hayawezekani? wataka kuingia kwenye system ili akina kikwete wakiambiwa waseme tu ndiyo mzee..........
  HUWA NAJIULIZA,TUKIWA NA AKINA ROSTAMU 10 HAPA NCHINI PATATOSHA KWELI?kwani mpaka sasa wameshaiweka serikali na rais mikononi na mifukoni mwao...........
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Mungu anisaidie nikuelewe unachomaanisha nini.............
   
 17. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Usimsahau Prof. Issa Shivji
   
 18. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  ndio wapo wachache lakini wewe hujui nini kilicho rohoni mwao,,,hawa viumbe nawafahamu in and out,,majority yao karibia wote wanachumia Tanzania lakini wanalia Canada, India, Uk , US,,,Naamini Tanzania itakuwa mahali salama bila hawa viumbe (wahindi), ni wabaguzi, wezi, wanyanyasaji, walarushwa wakubwa,,ni watanzania wangapi wamegeuzwa watumwa na hawa wahindi?, wengi wao wana pasi za kusafiria za Canada,,ila wanajifanya watanzania kwa lengo la kuiba tu, kama wanapenda siasa ni kwanini wasiende kugombea Ubunge MUMBAI?

  Waganda leo hii wanamheshimu MZALENDO RAIS IDD AMINI kwa kitendo chake cha ujasiri alichokifanya cha kuwatimuwa hawa viumbe (wahindi) leo hii Uganda ni nchi ambayo inaongoza AFRICA KWA UCHUMI WAKE KUMILIKIWA NA WAGANDA WENYEWE, NA FAIDA ZAKE WAGANDA WANAZIONA, CHUKULIENI MFANO WA Wavamuno, Michael Ezra na wengine wengi

  Imefika kipindi sasa tuwaambie hawa wahindi waondoke, wanakwao na kwao ni Idia:pakistan watuachie nchi yetu, Muda wa kuwaendekeza umekwisha,,,na ipo siku tu tutawapa masaa 12 ya kufungasha na kuondoka hata mkijificha kwenye mgongo wa siasa
   
 19. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  siamini km tumefikia hatua ya kujitawala iwapo bado tunaamini kuongozwa na hawa chai maharage...............
   
 20. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Wengi hawataki kuamini ukweli huu.........wnawashabikia sana kwa kupewa vijizawadi amapo wakiingia tu kwenye system wanawanunua viongozi wetu kwa pesa zao na viongozi wanashindwa kuwatumikia watz km walivyokubali kuajiriwa nao...akina kikwete mpaka sasa hawawezi kuwachukulia hatua zozote akina rostam kwa kuwa tu wamewekwa mfukoni hiii ni hatari pale tunapoona lindi kubwa la hawa jamaa wanamiminika kuja nchini wakiwa na azma ya kugombea uongozi na hasa wanapokuwa hata elimu ya kutosha hawana.....tunategemea mtu anayetoka nje ya nchi at least awe professional /expert flani lakini kwa stailio hii sijui tunakoelekea ....nitaendelea kuomba nisieleweke vibaya hapa namaanisha tuwaache waendelee na shughuli walizopewa kibali kuzifanya.............
   
Loading...