Romania PM Ponta resigns over Bucharest nightclub fire

Rodgers12

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
136
Reaction score
40
Waziri Mkuu wa Romania amejiuzulu eti kisa wananchi wameandamana kumshinikiza aondoke baada ya ajali ya moto iliyotokea ktk nightclub moja.

Hapa kwetu watu wanakwapua mabilioni lakini wanadunda tu mtaani.

Wengine wanawadhihaki hata sisi wananchi kwa kutujibu kuwa kuwa hela wazotuibia ni vijisent na wengine wanasema ni hela za mboga.

Sijui na sisi ni lini tutafikia levels za accountability za wenzetu kama hawa!

====
 

Attachments

  • romania.jpg
    17.3 KB · Views: 135
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…