Robert Mugabe admits Zimbabwe's land reform flaws

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Raisi wa Zimbabwe, Robert Mugabe, akiri kuwa alifanya makosa kugawa ardhi kubwa kwa wakulima wadogo ambao walishindwa kuitumia na kusababisha mazao yao kushuka.

Kuna watu wengi hapa JF waling'ang'ania kuwa upungufu wa uzalishaji wa mazao ulitokana na vikwazo vya nchi za magharibi dhidi ya Mugabe lakini Mugabe kwa mdomo wake amekiri kuwa wakulima wadogo hawajaitumia ardhi waliopewa.

Pengine wengi wao walikuwa hawana elimu ya Kisasa ya kilimo wala uwezo wa kifedha wa kulima kwa wingi. Mwisho, kusababisha uzalishaji kushuka na kuifanya Zimbabwe kuagiza chakula kutoka nje na kushusha uchumi wa Zimbabwe.


http://goo.gl/87jKby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…