Tawire.... Tariki Moja ndio Nini papaa muganga?Ndugu zangu Leo nime ona ni Waletee wale ambao wana angaika na Biashara vyao rituel iyi ya White magic ili kuwasaidia
Na wao pia wa endelee katika maisha
Kuna Watu ambao wana amini kuwa mpaka ufanikiwe ni lazima uwe free Manson kitu ambacho sio Kweli
Kama shetani ana weza kukupa mafanikio
Tambuwa Na Mungu pia ana weza kukupa mafanikio
But Kuna system za kumuomba Mungu ili akupe mafanikio katika mambo Yako unayo Fanya katika maisha Yako
Kabla ya kuanza nataka ni seme kuwa rituel sio kwa wale ambao wanafanya biashara haram
Pili rituel sio eti itakupa pesa Bali itakupa mafanikio katika biashara Yako
Ok twende kazi
Tafuta logo ya biashara yako
Ambayo itatambulisha biashara Yako
Nunua mishuma 4
Ya rangi ya dhahabu sorry iyi ina BEI kidogo
Na Mishuma 2 ya njano
Nunua beseni ambayo bado ahijatumiwa
Nunua shuka jeupe ambalo bado ni Mpya
Nunua parfum
Mayai 4 ya Kuku
Nunua na ponda
Pamoja na biblia
Cha kufanya Niki
Chukuwa ile mishuma 4 ya rangi ya dhahabu uta Weka kwenye pembe 4 za chumba chako
Una chukuwa kile kitambaa cheupe una tandika Chini
Una chukuwa ile beseni una Weka ndani Maji ya vugu vugu alafu una chukuwa ile Mishuma miwili una Weka juu ya kile kitambaa ulicho kitandika Chini
Ile beseni ya Maji una iweka pale katika yaani juu ya kile kitambaa
Ukisha maliza ivo una chukuwa ile parfum una pulizia kwenye pembe 4 za nyumba Yako na katikati ukimaliza kupulizia una washa ile Mishuma
Ukisha maliza kuwasha ile Mishuma
Una chukuwa mayai ma una ivunja ndani ya ile beseni
Ukimaliza ivo una chukuwa parfum Na ponda una pulizia ndani ya Maji ile
Ukisha maliza ivo una chukuwa biblia unafunguwa katika kitabu cha zaburi
Sura ya 106 -1-5 una soma (X3)
Ukimaliza kusoma ivo una chukuwa kitambaa kile ambako Kutakuwa Na Logo ya biashara Yako pamoja na jina la biashara vyako una Weka ndani ya Maji
Una tamka manuizi upendayo au mafanikio upendayo ndani ya beseni ile ndani kukiwa kitambaa au kitu chochote tu ambako Kuna logo au mchora wa utambulisha wa biashara vyako lakini isiwe karatasi
Ukimaliza ivo
Icho kitu utakianika ndani ya nyumba yako sio inje
Ikikauka icho kitu utakuwa unatumia kukiweka au kukipandika kwenye mlango wa nduka lako , restaurant Yako au campuny Yako au seemu yeyote tu Kuna biashara vyako
Masharti
Rituel iyo uta ifanya kila tariki moja ya kila mwezi unakitowa unafanya rituel iyo
Na hakikisha kila tariki moja ya kila mwezi usiwe unafunguwa biashara vyako
Ni rituel iyo kila tariki moja ya kila mwezi utakuwa una ifanya na saa Sita za usiku
Ukikosea masharti Kuna uwezekano mkubwa wa wewe kufilisika tena
Mahelezo mazuri haya. Yameheleza mahelezo mafupi lakini NI mahelezo yenye kueleweka.Biblia ndo inafanyaga White magic
And i too Nilikuwa na jiuliza why biblia ifanye mambo aya baada ya kupata mahelezo ndo nikaja kugundua Mungu anaombwa kwa vitendo sio Makelele
We Mzee ni shida[emoji1787]Mahelezo mazuri haya. Yameheleza mahelezo mafupi lakini NI mahelezo yenye kueleweka.
Siontu unaweka mahelezo mengi halafu huhelezi mahelezo mazuri, mahelezo yako yanakuwa hayajaheleweka Kama kusudi la Komando Hamza, au PGO
Ndugu zangu Leo nime ona ni Waletee wale ambao wana angaika na Biashara vyao rituel iyi ya White magic ili kuwasaidia
Na wao pia wa endelee katika maisha
Kuna Watu ambao wana amini kuwa mpaka ufanikiwe ni lazima uwe free Manson kitu ambacho sio Kweli
Kama shetani ana weza kukupa mafanikio
Tambuwa Na Mungu pia ana weza kukupa mafanikio
But Kuna system za kumuomba Mungu ili akupe mafanikio katika mambo Yako unayo Fanya katika maisha Yako
Kabla ya kuanza nataka ni seme kuwa rituel sio kwa wale ambao wanafanya biashara haram
Pili rituel sio eti itakupa pesa Bali itakupa mafanikio katika biashara Yako
Ok twende kazi
Tafuta logo ya biashara yako
Ambayo itatambulisha biashara Yako
Nunua mishuma 4
Ya rangi ya dhahabu sorry iyi ina BEI kidogo
Na Mishuma 2 ya njano
Nunua beseni ambayo bado ahijatumiwa
Nunua shuka jeupe ambalo bado ni Mpya
Nunua parfum
Mayai 4 ya Kuku
Nunua na ponda
Pamoja na biblia
Cha kufanya Niki
Chukuwa ile mishuma 4 ya rangi ya dhahabu uta Weka kwenye pembe 4 za chumba chako
Una chukuwa kile kitambaa cheupe una tandika Chini
Una chukuwa ile beseni una Weka ndani Maji ya vugu vugu alafu una chukuwa ile Mishuma miwili una Weka juu ya kile kitambaa ulicho kitandika Chini
Ile beseni ya Maji una iweka pale katika yaani juu ya kile kitambaa
Ukisha maliza ivo una chukuwa ile parfum una pulizia kwenye pembe 4 za nyumba Yako na katikati ukimaliza kupulizia una washa ile Mishuma
Ukisha maliza kuwasha ile Mishuma
Una chukuwa mayai ma una ivunja ndani ya ile beseni
Ukimaliza ivo una chukuwa parfum Na ponda una pulizia ndani ya Maji ile
Ukisha maliza ivo una chukuwa biblia unafunguwa katika kitabu cha zaburi
Sura ya 106 -1-5 una soma (X3)
Ukimaliza kusoma ivo una chukuwa kitambaa kile ambako Kutakuwa Na Logo ya biashara Yako pamoja na jina la biashara vyako una Weka ndani ya Maji
Una tamka manuizi upendayo au mafanikio upendayo ndani ya beseni ile ndani kukiwa kitambaa au kitu chochote tu ambako Kuna logo au mchora wa utambulisha wa biashara vyako lakini isiwe karatasi
Ukimaliza ivo
Icho kitu utakianika ndani ya nyumba yako sio inje
Ikikauka icho kitu utakuwa unatumia kukiweka au kukipandika kwenye mlango wa nduka lako , restaurant Yako au campuny Yako au seemu yeyote tu Kuna biashara vyako
Masharti
Rituel iyo uta ifanya kila tariki moja ya kila mwezi unakitowa unafanya rituel iyo
Na hakikisha kila tariki moja ya kila mwezi usiwe unafunguwa biashara vyako
Ni rituel iyo kila tariki moja ya kila mwezi utakuwa una ifanya na saa Sita za usiku
Ukikosea masharti Kuna uwezekano mkubwa wa wewe kufilisika tena
Dah Bujibuji hapa umeleta utani sn Hadi karibia nivunje mbavu....dadadeki ha haMahelezo mazuri haya. Yameheleza mahelezo mafupi lakini NI mahelezo yenye kueleweka.