ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,006 May 12, 2021 #1 Kenya imeanza kuvunja haki ya faragha kwa kuzuia askari polisi kuchumbiana na kuona. Hii siyo haki kabisa, ni uonevu
Kenya imeanza kuvunja haki ya faragha kwa kuzuia askari polisi kuchumbiana na kuona. Hii siyo haki kabisa, ni uonevu
Ntaghacha JF-Expert Member Joined Jul 28, 2020 Posts 1,412 Reaction score 4,122 May 12, 2021 #2 Haiya eeh! Kwani mtu unapangiwa umpende nan? Hivi,penzi linachagua? Wakenya mnapangiwa umuoe nan,na usimuoe nan? Failed state, ingekuwa Tanzania 🇹🇿,ungesikia Hawa takataka,wangebeza humu!
Haiya eeh! Kwani mtu unapangiwa umpende nan? Hivi,penzi linachagua? Wakenya mnapangiwa umuoe nan,na usimuoe nan? Failed state, ingekuwa Tanzania 🇹🇿,ungesikia Hawa takataka,wangebeza humu!
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,006 May 13, 2021 Thread starter #3 Ntaghacha said: Haiya eeh! Kwani mtu unapangiwa umpende nan? Hivi,penzi linachagua? Wakenya mnapangiwa umuoe nan,na usimuoe nan? Failed state, ingekuwa Tanzania [emoji1241],ungesikia Hawa takataka,wangebeza humu! Click to expand... Hapo democrasia yao imejaribiwa na wamejaribika
Ntaghacha said: Haiya eeh! Kwani mtu unapangiwa umpende nan? Hivi,penzi linachagua? Wakenya mnapangiwa umuoe nan,na usimuoe nan? Failed state, ingekuwa Tanzania [emoji1241],ungesikia Hawa takataka,wangebeza humu! Click to expand... Hapo democrasia yao imejaribiwa na wamejaribika
Mutaitina JF-Expert Member Joined Mar 6, 2021 Posts 798 Reaction score 1,451 May 13, 2021 #4 ntamaholo said: Kenya imeanza kuvunja haki ya faragha kwa kuzuia askari polisi kuchumbiana na kuona. Hii siyo haki kabisa, ni uonevu View attachment 1782468 Click to expand... Good riddance, this will help maintain professionalism.
ntamaholo said: Kenya imeanza kuvunja haki ya faragha kwa kuzuia askari polisi kuchumbiana na kuona. Hii siyo haki kabisa, ni uonevu View attachment 1782468 Click to expand... Good riddance, this will help maintain professionalism.
eddy25r JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 926 Reaction score 841 May 13, 2021 #5 Its basic knowledge that if you work in any office or government jobs, even in the private sector, dating your junior is not allowed. Hata USA kuna congress lady wa California who resigned last year because she was caught dating her subordinate.
Its basic knowledge that if you work in any office or government jobs, even in the private sector, dating your junior is not allowed. Hata USA kuna congress lady wa California who resigned last year because she was caught dating her subordinate.
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,006 May 13, 2021 Thread starter #6 eddy25r said: Its basic knowledge that if you work in any office or government jobs, even in the private sector, dating your junior is not allowed. Hata USA kuna congress lady wa California who resigned last year because she was caught dating her subordinate. Click to expand... Mwalimu kuoa mwalimu sawa Mhasibu kuoa mhandisi sawa Daktari kuoa daktari sawa Mfanyabiashara kuoa mfanyabiashara sawa Lkn Polisi kuoa polisi si sawa. Mna funza vichwani si bure
eddy25r said: Its basic knowledge that if you work in any office or government jobs, even in the private sector, dating your junior is not allowed. Hata USA kuna congress lady wa California who resigned last year because she was caught dating her subordinate. Click to expand... Mwalimu kuoa mwalimu sawa Mhasibu kuoa mhandisi sawa Daktari kuoa daktari sawa Mfanyabiashara kuoa mfanyabiashara sawa Lkn Polisi kuoa polisi si sawa. Mna funza vichwani si bure
komora096 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 20,548 Reaction score 5,647 May 13, 2021 #7 ntamaholo said: Mwalimu kuoa mwalimu sawa Mhasibu kuoa mhandisi sawa Daktari kuoa daktari sawa Mfanyabiashara kuoa mfanyabiashara sawa Lkn Polisi kuoa polisi si sawa. Mna funza vichwani si bure Click to expand... Umeona km hujaelewa kitu ni kuwehuka tu..
ntamaholo said: Mwalimu kuoa mwalimu sawa Mhasibu kuoa mhandisi sawa Daktari kuoa daktari sawa Mfanyabiashara kuoa mfanyabiashara sawa Lkn Polisi kuoa polisi si sawa. Mna funza vichwani si bure Click to expand... Umeona km hujaelewa kitu ni kuwehuka tu..