Nipo Iringa ukumbi wa Club VIP, kuna show ya huyu kijana Rich mavoko, imenivutia sana, licha ya watu kutokuwa wengi sana ( huenda kutokana na kutofanya matangazo ya kutosha au kiingilio kuwa kikubwa , Elfu kumi ) kijana hajapanic na kuwa disapointed, amepiga show nzuri licha ya kwamba mwanzoni mashabiki walikuwa wamemchunia, akawa anaimba anawaomba wamfatilizie lakini wakawa mute, aliendelea kutabasamu na kuzidi kuperform, mwishowe mashabiki wenyewe wakajaa dancing stage na kuanza kuimba nae. Muda wote alikuwa na smiling face, hana malingo wala hajisikii lcha ya kwamba kwa sasa ni miongoni mwa wasanii walio juu.
He is such a humble guy, hajisikii kabisa, dogo kazana utafika mbali, funs wako ndo mtaji wako
*Maringo

Kwa Funs wake?
nampenda sana mavoko
Ule wimbo wake wa silali naupenda hadi kesho...
Lilikuwa ni sahihisho.
Instead of malingo...kama ilivyokuwa imeandikwa.
malingo kwa funs wake ila atafika mbali asipobadilika.
Msamehe ukiraza mnamsumbua.Unamuonea huruma au unamsifia?..
Ule wimbo wake wa silali naupenda hadi kesho...
Huu wimbo aliandika mamake mzazi.
Mamake mzazi si mwalimu?basi alitisha sana...naupenda mno
Yap ni ticha wa kiswahili. Mashairi ata ukiyasikia yapo kikubwa.
Na wewe unatoa lini single? Au msafara wa mamba.......