mkereketwamkereketwa
Member
- May 7, 2012
- 21
- 4
Hizi reshuffle udom zinatisha kwakweli, kuna watu wanahamishwa kila leo na wengine wapo tuu...ndio kusema wanaohamishwa sana wanaboronga au???au ndo wanaompinga huyo mbilikimo wenu tehe tehe tehe...jamani. Na huko social huyo aziza ndio nani au mnaogopa kwakuwa ...tufanye kazi acheni kuchongeana. Angle , mwalongo, mwanana kazi hamjui na tabia zenu ni mbwaya mbona hamuhamishi au ndo vibaraka wa "zakayo"? Haya bwana vc amka uendeshe chuo chako la sivyo andunje atakiua lol.....mliohamishwa wooooooooooooooooote iwe kwa majungu, kwa heri kwa unafiki nawapa bigup kwakuwa ni wazalendo hamulei ujinda. Kwa mnaopata fedha akina kusaja, gloria, aziza, mwandege na wenzio mjiandae 2015 kwani hakika rais ataondoka na mandondocha yake yyyyyyyyyyyooote.
Mkereketwa inaonekana una hoja nzito ila tatizo lako hujatulia ukatupa dataz vizuri au hukupenda kutupa kwa undani.Pls tuambie bwana tujue kwa undan maana twapenda kujua bwana!
Mamkwe ebu tusaidie bwana,kwa kuwa mtoa mada anaficha id yake ni vizuri ukammuumbua kwa kumtaja jina hasa kama inamfahamu!,ila ni kweli kuwa kuhamishwa ni suala la kawaida lakini mtoa mada inaonekana anajua chanzo chake ambacho ni tofauti na hiyo sababu ya kawaida!
Naheshimu maadili ya ukumbi, lakini akiendelea kuleta majungu nitaomba ruhusa nimuumbue. Kama anajua sababu ya kuhamishwa kwake anakodai aseme. Sababu ninazozijua mimi ni kuwa kuna watu wamestaafu, wameacha kazi, kuna idara zina upungufu, nk. pia kuna kujipanga upya katika kuleta ufanisi. Yeye aseme hizo sababu anazozijua.
Wengi wa wafanyakazi waliohamishiwa kwenye College na School wamefundishwa kazi na Kusaja pamoja na huyo mpika majungu.
Huyo bwana kwa fitna ndo zake amesababisha wenzake hata kufukuzwa kazi. Wanafanya mambo yao akijifanya mwanzao kesho anakwenda kuwachongea. Ikichunguzwa inaonekana kweli wenziwe wanafukuzwa yeye anaruka. Huyu jamaa ni sawa na muuaji.
Kinabo ni Publisher? Un maanisha nini hapo mkuu kwa huyu msomi wa ukweli?Kikula is a ceremonial VC. Totally powerless over andunje! The defacto VC is andunje. Kinabo is the UDOM publisher, not the ARC!
Asante kwa kuning'amua mkuu manake nimempata... Huyu jamaa ana choyo na majungu sana... in addition ana stress za maisha ndo mana wamehamishwa wengine yeye anajishtukia. yeye hahamishwi ng'o labda aache kazi!
Asante kwa kuning'amua mkuu manake nimempata... Huyu jamaa ana choyo na majungu sana... in addition ana stress za maisha ndo mana wamehamishwa wengine yeye anajishtukia. yeye hahamishwi ng'o labda aache kazi!