sio elimu ya bongo, but mwanafunzi anastahili kua smart. own your research dont let the supervisor own it. Achieve this by showing the uniqueness of your project interms of the research designMkuu pambana ndo elimi yetu ya bongo hii
Itakua nimechelewa kusoma elimu ya chuo kikuu, nahisi nasoma kipindi ambacho waalim wetu wengi sio vipanga japo karibu wote wana shahada za uzamili na uzamivu.
Ngwe iliyopita nilikua na semester project chini ya supervisor wawili, nikaandaa title na kum'consult supervisor akairekebishe, ikawa poa.
Baada ya kuandaa objectives na kumuona supervisor wa pili, akashangaa kwamba nimewezaje kufika mwaka huu na nmeshindwa kuandika title vizuri, hahahah.
Semester inaendelea, wao wanakurekebisha lakin siku inayofuata ukienda tayari umeyafanyia kazi marekebisho waliyosema awali , wanakwambia ukiendelea hivi uta'disco kabisa.
Final presentation, UE. Ndio wanakosoa karibu kila kitu kwenye ripot yako wakat consultation umekua ukifanya., na wanakwambia unaweza carry usipokua makini.
Nahis nimesoma wakat mbaya ambao hata waalim wanakosoana
Endelea, bado nasoma maandishi yakoSamahani Msomi hivi ni nini hasa unataka kutueleza hapa kwani pamoja na kujinasibu Kwako kote najaribu kutafuta ' Hoja ' ya maana katika Uzi wako huu mpaka sasa sijaiona badi zaidi tu ya kuona unazunguka pembe zote za dunia kujielezea ili ueleweke upesi na Great Thinkers waliotukuka humu Jamvini.
Endelea, bado nasoma maandishi yako
Hii kichwa maju ya lumumba muda wote inawaza siasasasa wewe unataka tukusaidie nini au umeleta humu tuwaseme hao walimu wako??
Peleka Instagram kwa Dada Mange atakusaidia, but kumbuka ku-hide your ID
Itakua nimechelewa kusoma elimu ya chuo kikuu, nahisi nasoma kipindi ambacho waalim wetu wengi sio vipanga japo karibu wote wana shahada za uzamili na uzamivu.
Ngwe iliyopita nilikua na semester project chini ya supervisor wawili, nikaandaa title na kum'consult supervisor akairekebishe, ikawa poa.
Baada ya kuandaa objectives na kumuona supervisor wa pili, akashangaa kwamba nimewezaje kufika mwaka huu na nmeshindwa kuandika title vizuri, hahahah.
Semester inaendelea, wao wanakurekebisha lakin siku inayofuata ukienda tayari umeyafanyia kazi marekebisho waliyosema awali , wanakwambia ukiendelea hivi uta'disco kabisa.
Final presentation, UE. Ndio wanakosoa karibu kila kitu kwenye ripot yako wakat consultation umekua ukifanya., na wanakwambia unaweza carry usipokua makini.
Nahis nimesoma wakat mbaya ambao hata waalim wanakosoana
Asante, nilishakamilishaShule ni yako na elimu unayopata ni kwa ajili yako mkufunzi ana nafasi ndogo sana kwako kuweza kuwezakuwa bora katika eneo lako.
First inaonekana ww ni wale wa spoonfeeding hujishughulishi nakushauri hata siku moja usije kuanza kublame kwamba mkufunzi ndo kakufikisha hapo yeye anatoa guidance tu but kiini chote ni ww mwenyewe.
Jiulize je ni darasa zima kazi zao ni mbovu? na unapata muda wapi wa kuanza kuandika humu badala ya kukesha na kazi za shule yako pole sana