Hiyo ni mpaka dk 90 mech ya mwisho bingwa anajulikana
Timu nne haziwezi kukutana, labda iwe makundi 😂😂😂Ikitokea Chelsea ikakutana na Arsenal yaan timu zote nne zikakutana
Na yakome kwa ubaguzi wa rangi[emoji847]Mwaka huu Spain wanakua wapenzi watazamaji nchini kwao[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Bora watupumzisheeeNa yakome kwa ubaguzi wa rangi[emoji847]
Sawa Wewe mkweli nitajie Mwaka gani na ni timu zipi ziliingia,Acha uongo Spain wameshafanya hivyo mara nyingi tu, tatizo lako unajua mpira wa EPL tu
Man united vs Chelsea 2007/8. Kwa EUROPA bado haijajulikana nani watakwenda final.
ficha ujinga wako mashirika yote ya habari wanasema mara ya kwanza ww unaasume nini wakati timu nn fainali mbili haijawahi tokea ww unaakili z hapo unadhani ni timu mbili fainali mojaTeam 4 za spain imeshatokea mara mbili kufika fainali za eufa champ na europa... hiii miake ya 2010 kuja mbele...
hapo hamna historia mpya.