Patflax jr
Member
- Apr 11, 2011
- 72
- 1
Wanajamvi naomba
kujulishwa juu ya usajili kwa mwaka wa kwanza saut-mwanza, maana mie
nimepata batch ya 3 na majina yaliwekwa net tar 5/10 wakat usajili
ulianza tang tar 23/9 na hawajaweka hadhar yeyote kwa sisi wa chagua la 3
ambao weng wet ni equivalent kuwa mwisho kurpot ni lini zaid ya
kuonesha penalt kwa atakaechelewa.
Msaada kwa anayejua kuhusu hili wadau
mm pia nimechaguliwa saut civil ila hiyo batch ya 3 bado simo labda ya 4 cjui itakuwaje hapo