P Presida2020 Member Joined Feb 17, 2013 Posts 31 Reaction score 3 Oct 26, 2018 #1 Jamani naomba kuuliza, referee katika wasifu huwa ni mtu gani? Je, referee yuleyule anaweza kufit katika job application mtu anapoomba. Msaada please
Jamani naomba kuuliza, referee katika wasifu huwa ni mtu gani? Je, referee yuleyule anaweza kufit katika job application mtu anapoomba. Msaada please
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,202 Oct 26, 2018 #2 Presida2020 said: jaman naomba kuuliza, referee katika cv huwa ni mtu gani. je referee yuleyule anaweza kufit katika job application mtu anapoomba. msaada please Click to expand... Referee ni mpuliza kipyenga
Presida2020 said: jaman naomba kuuliza, referee katika cv huwa ni mtu gani. je referee yuleyule anaweza kufit katika job application mtu anapoomba. msaada please Click to expand... Referee ni mpuliza kipyenga
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,796 Reaction score 48,055 Oct 26, 2018 #3 Presida2020 said: Jamani naomba kuuliza, referee katika wasifu huwa ni mtu gani? Je, referee yuleyule anaweza kufit katika job application mtu anapoomba. Msaada please Click to expand... Referee ni referee
Presida2020 said: Jamani naomba kuuliza, referee katika wasifu huwa ni mtu gani? Je, referee yuleyule anaweza kufit katika job application mtu anapoomba. Msaada please Click to expand... Referee ni referee
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,484 Reaction score 27,590 Oct 26, 2018 #4 refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu)
refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu)
P Presida2020 Member Joined Feb 17, 2013 Posts 31 Reaction score 3 Oct 26, 2018 Thread starter #5 asante sana ndugu yangu kwa kunielewesha
P Presida2020 Member Joined Feb 17, 2013 Posts 31 Reaction score 3 Oct 26, 2018 Thread starter #6 zipompa said: refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu) Click to expand... zipompa said: refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu) Click to expand... zipompa said: refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu) Click to expand... zipompa said: refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu) Click to expand... ASANTE SANA KWA KUNIELEWESHA
zipompa said: refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu) Click to expand... zipompa said: refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu) Click to expand... zipompa said: refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu) Click to expand... zipompa said: refaree ni mtu anayekufahamu vyema ila asiwe ndegu wa karibu kama baba/mama anaweza kuwa rafiki yako, mwalimu wako, mfanyakazi anayekufahamu, jirani yako ama othumani kazi (refaree mstaafu) Click to expand... ASANTE SANA KWA KUNIELEWESHA