Naomba kujuzwa kuna hii redio inaburudisha mziki mwanzo mwisho hata imenihamisha kusikiliza redio nyingine inaitwaje najua ni 93.7 mwenye kuijua anijuze tafadhaali
Mmiliki wa hhii redio ni nani ? Ameshaifunika clouds kwa mbali sana. akianza rasmi clouds itakua makumbusho
Hivi kumbe ndio mkude simba anapatikana huko?Zaidi ya muziki ni mkude simba tu...
ππππππππππππ
Hivi kumbe ndio mkude simba anapatikana huko?
si huyu hapo...:A S 100::A S 100:ππππππππππππ