Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,240
- 4,680
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeee!Find money first fall in love later
Binadamu wote wamelala muda huu tumebaki wachawi na washirikina tupu, uzi utadamshi jua likipambazuka panapo uzima.Nasubiri uzi ufike kasi ya 6G nitie neno....
🤣 🤣 🤣Binadamu wote wamelala muda huu tumebaki wachawi na washirikina tupu, uzi utadamshi jua likipambazuka panapo uzima.
Kuwa makini sana, siku nyingine usije kujikuta unaamka asubuhi unajikuta umelala msituni Kazimzumbwi huko.Ramli zilinitonya huu muda utajibizana na majini....
We nawe umeongea maneno mengi, kwahiyo unategemea vijana wakapate wapi upwiru? Ungewashauri waende kwa tahadhari tu basi inatosha.Hangaikeni na wanawake mtakufa maskini someni kitabu cha bingwa wa wake na side chicks King Solomon
Wanawake ni maadui wa maendeleo na maono ya wanaume
Ishini nao kwa akili tu na sio hisia
Hakikisha hausacrifice mipango na harakati zako za maendeleo sababu ya mwanamke
Demu au mke ukigundua ana kucheat suluhisho ni kuachana nae tu na usipoteze muda vikao vya usuluhishi
Viongozi wa kanisa la Roma waliona hilo ndo maana wakasema hakuna kuoa ili malengo ya kanisa yatimie
Kijana wa kiume pambania ndoto zako usiku na mchana muda haurudi nyuma kila siku kwako ni bahati na fursa itumie vizuri
Usidanganywe na machozi na sauti ya mwanamke katika mapenzi nyuma yake amejificha shetani
Mwanamke mcha Mungu kikweli kweli ndio ahueni yako
Mwanamke mzinzi ukiendelea nae hata riziki inakuwa ngumu na hata akili inapigwa
Kumbe kinakusumbua mpaka kwenye kutetea CCmYou will be fine.... You will be fine... wewe sio wa kwanza kupitia unachopitia.
Tatizo la madogo hawaelewi mi nimeamua kukaa kimya mtu akija kusema anateseka na mapenzi namuambia bado kidogo teseka tena akili ikikaa sawa utaona tu anavyo behave unajua huyu sasa akili imekaa sawa sawia.Hangaikeni na wanawake mtakufa maskini someni kitabu cha bingwa wa wake na side chicks King Solomon
Wanawake ni maadui wa maendeleo na maono ya wanaume
Ishini nao kwa akili tu na sio hisia
Hakikisha hausacrifice mipango na harakati zako za maendeleo sababu ya mwanamke
Demu au mke ukigundua ana kucheat suluhisho ni kuachana nae tu na usipoteze muda vikao vya usuluhishi
Viongozi wa kanisa la Roma waliona hilo ndo maana wakasema hakuna kuoa ili malengo ya kanisa yatimie
Kijana wa kiume pambania ndoto zako usiku na mchana muda haurudi nyuma kila siku kwako ni bahati na fursa itumie vizuri
Usidanganywe na machozi na sauti ya mwanamke katika mapenzi nyuma yake amejificha shetani
Mwanamke mcha Mungu kikweli kweli ndio ahueni yako
Mwanamke mzinzi ukiendelea nae hata riziki inakuwa ngumu na hata akili inapigwa bumbuwazi
Huu ni ukwel ambao kama umependa ni ngumu kuutekeleza, ila ukwel ndio huo!Hangaikeni na wanawake mtakufa maskini someni kitabu cha bingwa wa wake na side chicks King Solomon
Wanawake ni maadui wa maendeleo na maono ya wanaume
Ishini nao kwa akili tu na sio hisia
Hakikisha hausacrifice mipango na harakati zako za maendeleo sababu ya mwanamke
Demu au mke ukigundua ana kucheat suluhisho ni kuachana nae tu na usipoteze muda vikao vya usuluhishi
Viongozi wa kanisa la Roma waliona hilo ndo maana wakasema hakuna kuoa ili malengo ya kanisa yatimie
Kijana wa kiume pambania ndoto zako usiku na mchana muda haurudi nyuma kila siku kwako ni bahati na fursa itumie vizuri
Usidanganywe na machozi na sauti ya mwanamke katika mapenzi nyuma yake amejificha shetani
Mwanamke mcha Mungu kikweli kweli ndio ahueni yako
Mwanamke mzinzi ukiendelea nae hata riziki inakuwa ngumu na hata akili inapigwa bumbuwazi
uzi ufungwe hapa.Hangaikeni na wanawake mtakufa maskini someni kitabu cha bingwa wa wake na side chicks King Solomon
Wanawake ni maadui wa maendeleo na maono ya wanaume
Ishini nao kwa akili tu na sio hisia
Hakikisha hausacrifice mipango na harakati zako za maendeleo sababu ya mwanamke
Demu au mke ukigundua ana kucheat suluhisho ni kuachana nae tu na usipoteze muda vikao vya usuluhishi
Viongozi wa kanisa la Roma waliona hilo ndo maana wakasema hakuna kuoa ili malengo ya kanisa yatimie
Kijana wa kiume pambania ndoto zako usiku na mchana muda haurudi nyuma kila siku kwako ni bahati na fursa itumie vizuri
Usidanganywe na machozi na sauti ya mwanamke katika mapenzi nyuma yake amejificha shetani
Mwanamke mcha Mungu kikweli kweli ndio ahueni yako
Mwanamke mzinzi ukiendelea nae hata riziki inakuwa ngumu na hata akili inapigwa bumbuwazi
TawireWanawake wote ni malaya wanatofautiana mbinu tu, msiseme Mbaga Jr hakuwatonya mapema.
Igweee, chenjere chenjere chenjere, mbaaa!.Tawire