mzungu wapink
Member
- Oct 9, 2018
- 80
- 123
Very genuine , hata ulaya hupati namna hi.Fan hizi zilikuja Kwa idadi maalum na hazikusambazwa madukani kwaiyo ukitaka inabidi uwasiliane nami Ila kariakoo utazunguka Sana..
99,000/= 16 inchFeni unauza 300k nani anunue sasa..[emoji4][emoji4]
Haaππππ πππ€£ππππVery genuine , hata ulaya hupati namna hi.
Haribu Tu Ila nakuhakikishia Mungu ninayemwabudu ataniletea wateja toka anakojua yeye....nawe utajirike Kwa kutokununua kwangu.Sitaki kukuharibia biashara but I can assure you zipo Kariakoo. Na bei imepoa kulinganisha na hiyo