Re-categorization ina yafuatayo.
1. Inabidi uwaone HR wa wizara uliopo au utumishi aone sifa zako na kama horizontal recategorization inawezekana kulingana na structure ya mazingira.
2. Utaanza chini na usidhani utapita juuu.
3. Usipokuwa makini unaweza kupewa cheo amvacho hakijapewa mafungu.
4. Unaweza kulazimika kuhama wizara. Nk