Re: Nyumba inauzwa Mwananyamala

Mbotepote

Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Nyumba ni nzuri ya kibiashara kayumba 20, iko katika mazingira mazuri, kwa sasa imepangishwa . Bei ni Tshs 370 Milioni ipo maeneo ya mwananyamala oilcom
Tuwasiliane 07153 900071
 
Weka Picha,
alafu mwananyamala oilcom ndio umemaliza maelezo?
Kayumba 20 ndio nini?
 
kawe zipo mbili kwa moja bei 280 m,mwenye kuitaji maongezi yapo nipm,
 
kawe zipo mbili kwa moja bei 280 m,mwenye kuitaji maongezi yapo nipm,

Kawe ipi hiyo Mkubwa? unaweza kunipa details za nyumba hata na picha kama inawezekana?
 
Weka Picha,
alafu mwananyamala oilcom ndio umemaliza maelezo?
Kayumba 20 ndio nini?
mkuu si kaweka namba?huwezi kuwa interested na biashara ya m370 afu ukakosa vocha ya kupiga kuulizia mambo mengine!.....au alimradi nawe umecomment?kuwa serious!
 
kawe mzimuni karibu na kanisa la roma we ni pm tu ipo karibu na road parking ipo tuwasiliane tu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…