Re-application

mussa fakhir

New Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
3
Reaction score
6
Anayejua kuomba chuo tena baada ya kutoendelea na masomo;na kurudia chuo cha awali inachukua muda gani?
 
Nenda chuo ulichochaguliwa awali,watakupa barua ya kukutoa katika mfumo wa udahili... Kisha utaenda nayo tcu ambapo utapewa fomu ujaze ukiambatanisha na hiyo barua... Then utakuwa huru kuomba upya chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…