Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Unajua tuko tofauti katika mengi. Nikikutana na wewe unaelekea sehemu daraja livejunjika, ama kuna watekaji, nitakuambia usipite huko kuna madhara. Nandiyo sababu ninawapa watu anuani za kuapta kinga na tiba ya Corona kwa kuwa imethibitishwa. Sina uchoyo!.Chanjo ni hiari. Unataka chanjwa, hutaki acha wewe na familia yako. Bado haitoshi tu?
Kwamba unatafuta kuungwa mkono kutochanjwa? Kwani inakuuma nini wewe mtu akichanjwa au asipochanjwa?
Hiiiiii bagosha!
Hizi ngonjera za nini sasa? Wao si waseme tu chanjo wapi na lini sisi tukafanye yetu?Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa wito kwa Wananchi kuhakikisha wanapokea Chanjo ya Corona kwa mustakabali wa Afya zao.
RC Makalla ametoa kauli hiyo akiwa ni miongoni mwa Viongozi waliopokea Chanjo hiyo wakati wa uzinduzi uliofanyika siku ya Jana ambapo amesema tangu amepokea Chanjo hiyo hajapata madhara yoyote ya kiafya...
Chanjo ni hiari. Unataka chanjwa, hutaki acha wewe na familia yako. Bado haitoshi tu?
Kwamba unatafuta kuungwa mkono kutochanjwa? Kwani inakuuma nini wewe mtu akichanjwa au asipochanjwa?
Hiiiiii bagosha!
Vijiwe vya kahawa vimeanza kuchangamka....Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa wito kwa Wananchi kuhakikisha wanapokea Chanjo ya Corona kwa mustakabali wa Afya zao.
RC Makalla ametoa kauli hiyo akiwa ni miongoni mwa Viongozi waliopokea Chanjo hiyo wakati wa uzinduzi uliofanyika siku ya Jana ambapo amesema tangu amepokea Chanjo hiyo hajapata madhara yoyote ya kiafya...
Hapana kijana wangu. Ninahuruma na wanaoangamia. Kama ulivyomsaidia yule rafiki yako wakati mkisoma ili asifukuzwe ama kufeli, ilikuwa haikuhusu lakini ulimuwazia mema na ndiyo sababu ukamsaidia. Ndivyo na mimi nilivyo.
Kwa hiyo kama kuna madhara alitegemea apate right there after a jab!? Yaani jana leo yaonekane? Siasa banaMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Bora.