Mkuu, Elezea zaidi. Ni Automatic au Manual, vipi kuhusu Mileage ? Ni vema ukaweka na bei hata ya kuanzia. Wengine ni wagumu wa kupiga piga simu. Ila ukiona hapa kila kitu inarahisisha kufanya maamuzi.
Mkuu, Elezea zaidi. Ni Aitomatic au Manual, vipi kuhusu Mileage ? Ni vema ukaweka na bei hata ya kuanzia. Wengine ni wagumu wa kupiga piga simu. Ila ukiona hapa kila kitu inarahisisha kufanya maamuzi.