Bwana MAGARI mi nikupongeze kwamba huwa unajitahidi kuuza magari mazuri pamoja kuweka details zote muhimu za magari hayo unayokuwa unauza, lakini tatizo ni moja tu; nalo ni kwamba BEI zako huwa Mara nyingi ziko juu kitu ambacho wengi hukiogopa mi nikiwa mmojawapo. Rekebisha suala la bei na biashara yako itakuwa nzuri.Make : TOYOTA
Model : RAV4
Mileage : 117000km
Engine size : 2360cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : four wheels drive (4WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ex. Color : Silver
Manufactured year/month : 2006/3
Door : 5
Seat : 5
FEATURES
Airbag * Alloy Wheels * Rear Spoiler * FOG HID Back Tyre * NaVigation * Power Steering * Power windows *
STEREO
2DIN-SIZE * NaVIGATION * TV * CD RADIO.
Price : Tshs 29,800,000/=
(Fixed price )
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru ✅
Port charges ✅
Agency fees ✅
Marine insurance ✅
registration ✅
Bima ya barabarani ❌
Ikiwa una ;
Maswali
Maoni
Ushauri
Usisite kutuandikia hapo kwenye "comment section" au kwenye inbox (private message/direct message)
Au kupitia barua pepe :
ecarstanzania@gmail.com
Karibu!
ARV : Ahsante kwa maoni yako!
Look for cars which you can afford , High end cars are for a special category of people !!!!Kwa being hiyo! Itageuka kuwa Chuma chakavu.
Do you think you can manage to capture those special people here?Look for cars which you can afford , High end cars are for a special category of people !!!!
Where d
Do you think you can manage to capture those special people here?
You might be right but at the wrong place! U have failed to launch an advert be in TV or radio in contrary u call yourself special while possessing a fake ID.
Munawar usichafue hali ya hewa katika uzi wa mwenzio
Na mineno yako ya shombo
Nitafutie old model rangi silver au nyeusi budget mil 15.Make : TOYOTA
Model : RAV4
Mileage : 117000km
Engine size : 2360cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : four wheels drive (4WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ex. Color : Silver
Manufactured year/month : 2006/3
Door : 5
Seat : 5
FEATURES
Airbag * Alloy Wheels * Rear Spoiler * FOG HID Back Tyre * NaVigation * Power Steering * Power windows *
STEREO
2DIN-SIZE * NaVIGATION * TV * CD RADIO.
Price : Tshs 29,800,000/=
(Fixed price )
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru ✅
Port charges ✅
Agency fees ✅
Marine insurance ✅
registration ✅
Bima ya barabarani ❌
Ikiwa una ;
Maswali
Maoni
Ushauri
Usisite kutuandikia hapo kwenye "comment section" au kwenye inbox (private message/direct message)
Au kupitia barua pepe :
ecarstanzania@gmail.com
Karibu!
View attachment 332406 View attachment 332407
View attachment 332408
View attachment 332409
View attachment 332410
Mkuu ninayo old model rangi ya blue, kama upo serious ni pm.Nitafutie old model rangi silver au nyeusi budget mil 15.
Munawar usichafue hali ya hewa katika uzi wa mwenzio
Na mineno yako ya shombo
Ha ha ha!!uzi wa mwenzie wapi wakati ndio yeye huyu anatumia multiple id's