golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
www.kupatana.com mkamalize bizinesi kule yapo mengi snaWakuu za hapa na pale,
Kuna jamaa yangu amedunduliza pesa zake, anajaribu kupata usafiri wa kumrahisishia mishe za jijini hapa. Anataka kununua gari ndogo, kama tajwa hapo juu.Bajeti yake anaomba isizidi 6M. Yeyote anayefahamu inayouzwa, au anayo yeye, asisite kutupia hapa, ili nimfikishie hizo habari. Namba B au C.
Nawasilisha

huko zinawahiwa, ni bora hapa
Atapata inategemea atalikuta katika hali gani... usawa wenyewe huu 2000 ni 10000Mmhh mkuu unaweza ukapata kweli rav 4 kwa being iyo??? Sidhani labda uongeze ongeze kidogo..... Na pia huogopi kubambikiwa li gari libovu ukaja kujutia ela yako
Si ungesema tu ni wewe unahitaji mkuu?Wakuu vipi
Mkuu bei hiyo ni kubwa sana, kuna moja nimeikosakosa mtu ameiwahi kwa 4.5M. Maisha yamebadilika sanaMmhh mkuu unaweza ukapata kweli rav 4 kwa being iyo??? Sidhani labda uongeze ongeze kidogo..... Na pia huogopi kubambikiwa li gari libovu ukaja kujutia ela yako
Mkuu mimi ninalo, nimetafuta humuhumu mwaka jana mwezi wa tanoSi ungesema tu ni wewe unahitaji mkuu?