Rav 4 inauzwa

CLACET

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
24
Reaction score
18
RAV 4 iliyon katika hali nzuri ndani na nje inauzwa. Details ni kama ifuatavyo

Year of Manufacture: 2004
Model : CBA - ACA21W
Engine Capacity : 1990cc
Engine Type : 1AZ
Mileage : 71,000km (Imported with 69,600Km)
Price TZS 26M Negotiable.

Angalia Picha hapo chini, Baadhi likiwa japan na nyingine baada ya
kuwasili Tanzania mwishoni mwa mwaka jana.

Kwa mawasliano ya sms +2309802415
AU
Piga No +255713460884
 

Attachments

  • RAV 4 - Interiors.doc
    RAV 4 - Interiors.doc
    427 KB · Views: 88
  • CIMG2237.JPG
    71.6 KB · Views: 143
  • CIMG2242.JPG
    70.9 KB · Views: 102
  • Photo1179.jpg
    34.8 KB · Views: 116
  • Photo1189.jpg
    32.9 KB · Views: 96
Umesomeka vema mkuu, ngoja wenye visu vikali waje hewani, hizo namba za simu zinafanya kazi 24 hrs?
 
kitu kimetulia mkuu,

dah "umaskini ni mbaya sana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…