Brown B Senior Member Joined Nov 6, 2023 Posts 139 Reaction score 141 May 5, 2025 #1 Range Rover Vogue Year: 2015 Cc: 3.0 TDV6 Interior: Cream (Biscuit) Mileage: 32,000miles Fuel: Diesel Transmission: Auto Color: Black Metallic Cream Leather Seats Panoramic Sunroof ✅ Electric Side Steps Automatic Boot 💰Price 152m Free registration ✅ ☎+255626682228 Attachments IMG-20250503-WA0007.jpg 99.8 KB · Views: 31
Range Rover Vogue Year: 2015 Cc: 3.0 TDV6 Interior: Cream (Biscuit) Mileage: 32,000miles Fuel: Diesel Transmission: Auto Color: Black Metallic Cream Leather Seats Panoramic Sunroof ✅ Electric Side Steps Automatic Boot 💰Price 152m Free registration ✅ ☎+255626682228
Risk manager JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,807 Reaction score 17,357 May 5, 2025 #3 Hiyo ni pamoja na usajili mie ni kuendesha tu ama Kuna la ziada
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 5,911 Reaction score 11,105 May 5, 2025 #4 Hivi kuna watu huwa wananunua gari ya umri wa miaka 10 kwa pesa ndefu hivyo? Just curios though mi si mnunuzi!
Hivi kuna watu huwa wananunua gari ya umri wa miaka 10 kwa pesa ndefu hivyo? Just curios though mi si mnunuzi!
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,288 May 5, 2025 #5 Abijon said: Hivi kuna watu huwa wananunua gari ya umri wa miaka 10 kwa pesa ndefu hivyo? Just curios though mi si mnunuzi! Click to expand... Kwa Tz jibu ni ndio maana gharama za ushuru ni nyingi kuliko gari lenyewe Wanatupiga haswa
Abijon said: Hivi kuna watu huwa wananunua gari ya umri wa miaka 10 kwa pesa ndefu hivyo? Just curios though mi si mnunuzi! Click to expand... Kwa Tz jibu ni ndio maana gharama za ushuru ni nyingi kuliko gari lenyewe Wanatupiga haswa
Brown B Senior Member Joined Nov 6, 2023 Posts 139 Reaction score 141 May 5, 2025 Thread starter #6 Ego is the Enemy said: Hiyo ni pamoja na usajili mie ni kuendesha tu ama Kuna la ziada Click to expand... pamoja na usajili mkuu, karibu.
Ego is the Enemy said: Hiyo ni pamoja na usajili mie ni kuendesha tu ama Kuna la ziada Click to expand... pamoja na usajili mkuu, karibu.
Brown B Senior Member Joined Nov 6, 2023 Posts 139 Reaction score 141 May 5, 2025 Thread starter #7 Abijon said: Hivi kuna watu huwa wananunua gari ya umri wa miaka 10 kwa pesa ndefu hivyo? Just curios though mi si mnunuzi! Click to expand... Wapo ndio maana yanazidi kuagizwa kila uchwao mkuu.
Abijon said: Hivi kuna watu huwa wananunua gari ya umri wa miaka 10 kwa pesa ndefu hivyo? Just curios though mi si mnunuzi! Click to expand... Wapo ndio maana yanazidi kuagizwa kila uchwao mkuu.
Craig JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 1,676 Reaction score 3,138 May 5, 2025 #8 Hiyo bei unajidanganya mkuu... Hata kwa 50 huuziii... Yapo kibaoo hayoo...
Brown B Senior Member Joined Nov 6, 2023 Posts 139 Reaction score 141 May 5, 2025 Thread starter #9 Craig said: Hiyo bei unajidanganya mkuu... Hata kwa 50 huuziii... Yapo kibaoo hayoo... Click to expand... Sawa mkuu.
Craig said: Hiyo bei unajidanganya mkuu... Hata kwa 50 huuziii... Yapo kibaoo hayoo... Click to expand... Sawa mkuu.