Ramani za nyumba

dadysean

Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
94
Reaction score
20
Kama kuna mtu anahitaji ramani ya nyumba anione tafadhari, ntamuuzia kwa bei poa kabisa. Whatsapp no-0763842175

 

Attachments

  • 1391301412910.jpg
    38.5 KB · Views: 516
  • 1391301452471.jpg
    22.9 KB · Views: 482
Huyu amediwnload kwenye net tu
 
Mbona nymba zenyewe chini kuna ice, au umekusudia zikajengwe kigoma kwenye barafu ya mvua na mabondeni?
 
Mkuu mbona hizo sample umedownload na kubandika hapo? weka sample ya ramani uliyochora mwenyewe
 
Duuh icho kitabu ninacho,,,kuna nyumba na ramani nyingi ZA ulaya..kumbe imekuwa deal,,aha ha ha

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Anauza ramani za nyumba au anauza kitabu chenye ramani za nyumba zilizochorwa kujengwa ulaya?
 
Just for curiosity...ramani unanunuwa au unatoa mahitaji na site uliyonayo ili "iwe designed kulingana na mahitaji ya muhusika"??.....tutafakari kisha tuchukuwe hatuwa.
 
Hizo sio za ku'download wakuu, nimezipiga kwenye kitabu ambacho ninacho. Kwakifupi kuchora siwezi ila nina kitabu cha ramani za nyumba aina zote ukiitaji nakuletea uchague ramani utakayoipenda kisha naenda kukutolea copy kila ramani tsh50,000 kwa roho safi
 
Mmh izo ramani labda wakutafute mafisadi waliochota ela za uma,lala hoi kama mm ela nitapata wapi kama kodi ninayokatwa tu inapita nnssf je nitapata ela ya kujenga nyumba ya atari kama iyo?akina mwigala na nepe labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…