Mimi sina muhuri binafsi ila ninaofanya na mtu mwenye muhuri hadi hadi hapo atakaponiptisha kwa board ili na mimi nipate wakwangu.. sijui kama umenielewa ila ndio field yetu hii ya ujenzi ndio inavyoenda kwa sasa natakiwa nifante kazi chini ya mtu kwa muda flan, Hivyo swala la muhuri sio tatizo. Bei inategemea na aina ya jengo kama ni residential au comercial au nyumba ya chini au ya juu..
Thanks 4 asking