Ramani za nyumba kwa bei nafuu

Safi sana nimeona jamaa moja kaijenga hii nyumba huku dodoma, sehemu mmoja inaitwa makulu Njia y kwenda udom. sasa mzee tupe ngarama yake mjengo kama huo mpaka umalizike..
 
Hizi nyumba watu naona wanaziponda kuwa hazifai. Ingawa naona zinaweza kuokoa gharama kubwa za ujenzi, ila vipi gharama za maintenance?
 
Ooh wow!
Honest ramani ipo poowah sana....I like it.

Sema ndugu yangu swapta, naomba nikushauri ufanye uboreshe wa matangazo yako, ili yaweze kuwashawishi wengi, pindi wayaonapo!

Let's say, unaweza ukatuletea ramani kama hiyo, ikiwa na bei yake, estimation cost za ujenzi, specifications zake n.k

Kwa kufanya hivyo, utawafanya hata wale, waliokuwa hawana mpango na hiyo kitu....kujikuta wanaanza kuset mipango. At the end of the day, utajikuta unazidi kukuza soko la bidhaa zako.

Note:
Ni ushauri tu, na sio kwamba unafundishwa kazi....

Ni hayo tu....asante!
 

Asante sana mkuu nimekuelewa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi, wewe unaishia kwenye kuchora tu ama unajenga pia? Nipatie makadirio ya ujenzi wa hiyo nyumba hadi kukamilika.
 
Atakuwa ameweka Kila Kitu hadharani
 
3 bedroom house
Kitchen and kitchen store with dining
Fits in 20*30m plot size
Matofari yasiyopungua 1200

Mawasiliano : 0785788647 au 0734062646

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…