Ramani za nyumba aina zote

GANGSTIZO

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
44
Reaction score
7
Tunabuni na kuchora ramani aina zote yani kwa nyumba za kawaida na maghorofa...
Michoro inakuwa na set of architectural drawing na technical drawing...pia na 3D view..
gharama zetu ni nafuu sana....
Nyumba za kawaida zinaanzia 250,000/= na
ghorofa 500,000/=.....
Karibu tukuhudumiee....

Wasiliana nasi kupitia 0712006246
E-mail: gkabyex gmail.com.
 

karibu
 
Last edited by a moderator:
Weka ramani hapa au picha ya nyumba mlizo chora au mnazoweza ku chora
 
Weka ramani hapa au picha ya nyumba mlizo chora au mnazoweza ku chora

unaweza kujionea baadhi ya kazi zetu kupitia ukurasa wetu wa facebook unaitwa kabyex engineering and building planeers....karibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…