mwidy Member Joined Sep 29, 2013 Posts 19 Reaction score 9 Jan 16, 2015 #1 Habari, anaehiitaji raman za majengo ya biashara na nyumba..anitafute kwa no 0752450273 au 0712544508..napatikana ARDHI UNIVERSITY
Habari, anaehiitaji raman za majengo ya biashara na nyumba..anitafute kwa no 0752450273 au 0712544508..napatikana ARDHI UNIVERSITY
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,494 Reaction score 12,465 Jan 16, 2015 #2 mwidy said: habari,anaeitaji raman za majengo ya biashara na nyumba..anitafute kwa no 0752450273 au 0712544508..napatikana ARDHI UNIVERSITY nimeattach sampl ya nyumba niliyodesign kwa mteja wangu Click to expand... hizi ramani ni nyumba za kizamani hebu boresha mitindo ya nyumba zako..btw nice try.
mwidy said: habari,anaeitaji raman za majengo ya biashara na nyumba..anitafute kwa no 0752450273 au 0712544508..napatikana ARDHI UNIVERSITY nimeattach sampl ya nyumba niliyodesign kwa mteja wangu Click to expand... hizi ramani ni nyumba za kizamani hebu boresha mitindo ya nyumba zako..btw nice try.
C cejo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 496 Reaction score 406 Jan 16, 2015 #3 naona nyumba yako inaelea mawinguni.. ongeza bidii utakua mzuri zaidi ya hapo, ila jarib kuongeza compitence kwanza then uji market, naona umeanza the other way round.
naona nyumba yako inaelea mawinguni.. ongeza bidii utakua mzuri zaidi ya hapo, ila jarib kuongeza compitence kwanza then uji market, naona umeanza the other way round.
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Jan 16, 2015 #4 Kijana, komaa na shule... Safari ni ndefu
M mpenda1961 Senior Member Joined Apr 2, 2013 Posts 123 Reaction score 78 Jan 16, 2015 #5 komaa na shule mkuu kwanza.......