Hard disk kama ni SATA inaenda kwenye laki na nusu na Ram kama ni ddr2 inakuwa kwenye laki hadi laki na nusu nenda Zawadi technology opp na club ya Simba Kariakoo
Yaani kwa hizo specifications ningekushauri ununue hard disk peke yake kwani nadhani processor speed yake haizidi 2.0 Ghz so kwa hiyo speed inafaa iwe na angalau na 1 GB ram, hiyo ya 4 GB ram inafaa proccesor iwe dual core ndio itasukuma mzigo vizuri.
Du, kumbe una ishu nyingi! Ni vizuri ukawaona watalaamu kuliko ivyo unavyotaka kufanya! Iyo short cut itakugharimu zaidi, hapo ni kama kulazimisha nokia 3310 iwe na bluetooth. Ni vizuri uwe na uhakika una processor yenye nguvu kiasi gani.
Hard disk kama ni SATA inaenda kwenye laki na nusu na Ram kama ni ddr2 inakuwa kwenye laki hadi laki na nusu nenda Zawadi technology opp na club ya Simba Kariakoo