Raisi Xi Jinping na Putin wakutana SCO summit

Extraterrestrial

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
413
Reaction score
265
Source: thediplomat

http://thediplomat.com/2014/09/xi-jinping-vladimir-putin-meet-ahead-of-sco-summit/

wakuu kama mmenotice hakuna regional economic integration/cooperation ambayo china yupo bila russia kuwepo.angalia pia brics,na hii sco. kwa nini?their focus on this sco summit is regional security maana nato wamesema wataondoka afganistan,watakavyoondoka security itakuwa ya mashaka.pamoja na kwamba russia hawakuwa na uhusiano mzuri na china kwenye ww2 but they are countries sharing the same interest ndiyo maana wanashirikiana kwa mengi.
 
VVP amefanya jitihada kubwa kukuza uhusiano na China. Hii ni kwa sababu wote wawili hawakubaliki na Washington. baada ya kuvunjika WARSAW Pact Russia amekua hana allies, kwa hiyo China ndio mtu sahihi.
 
Hapo kila mmoja anaangalia atafaidika vipi kwa uwepo wa mwenzake, China anahitaji nishati ya gas na mafuta, pamoja na soko la bidhaa zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…