Raisi sasa funga mipaka

kande kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
234
Reaction score
89
Ni ya mkoa wa DAR.

Inapendeza sana jinsi foleni na misongamano ya magari ilivyopungua.

Wale kina meku, nshomile na wengineo waliolikacha jiji kipindi hiki wasiruhusiwe kurudi tena DAR waanzishe makazi huko huko waliko.Magari yote yaliyopaki majumbani yasiruhusiwe kuingia barabarani. Hapo DAR itakuwa poa.

Tupe bonasi hii tulioamua kubaki DAR tukichapa kazi ili kulijenga taifa.Fikiri kama wote tungeondoka DAR kwa sababu hizo na kuwaacha nzaramo pekee.Bila shaka ingekuwa ni kunema tu na ngoma kwenda mbele!

Au.......
 
Una akili sana !
Sisi tulio onyesha uzalendo tupewe vitambulisho kabisa vya kuishi Dar
 
Afunge tuone mananasi na maembe mtapata wapi. Nyie kama hamkujenga kwenu mtajiju. Yeye mwenyewe yupo kwao Lugoba muda huu
 
Afunge tuone mananasi na maembe mtapata wapi. Nyie kama hamkujenga kwenu mtajiju. Yeye mwenyewe yupo kwao Lugoba muda huu
kwani unadhani mananasi na maembe yanasababisha foleni!!!mipaka ambayo itakayo fungwa ni ya kina meku na nshomile,ndo mdao amesema hivyo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…